Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tembelea link hii.
www.uob.ac.tz
mm nilitaman kupiga hapo course ya mathematics and statistics but ada ilinishinda..3M..hata ukipata 100% utalipia si chn ya M moja na nusu
nooma sana flyn ryder vyuo vya private inabidi vidhibitiwe ada zao
Kweli wng..wanafanya biashara hawa watu..yaani hata ukipata mkopo ile unayoongezea basi unasoma vizuri katika vyuo vya public..kuna hicho UOB,st jesoph na na chuo flan hv cha wild life kinaitwa mweka..na vyengine ving vya private vinatuumiza ada
mm nilitaman kupiga hapo course ya mathematics and statistics but ada ilinishinda..3m..hata ukipata 100% utalipia si chn ya m moja na nusu
Hivi jamani ni chuo gani kinachotoa diploma ya mathematics na stastistics????