Walioomba vyuo vya ualimu kupitia mfumo wa CAS NACTE mambo tayari ingia uone!

Kiny

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
289
Reaction score
57
NACTE tayari wametoa batch ya kwanza kwa walio omba vyuo vya ualimu kupitia cas majina yapo kwenye website
 
Mengine mbona hayapo?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
NACTE tayari wametoa batch ya kwanza kwa walio omba vyuo vya ualimu kupitia cas majina yapo kwenye website na facebook

Watatoa na batch ya pili?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mbona kwenye website hayaonekani pia kwenye Facebook mpaka kudownload??
 
Jamani niangalizieni jina langu Joseph Bernard S0713/045
 
Jamani naomba mwenye utalaamu atuwekee hayo majina peupe tuyaone...
 
Jamani niangalizieni jina langu Joseph Bernard S0713/045

St. Joseph University in Tanzania - Arusha Campus.

Ordinary Diploma in Primary Education - Science and Mathematics
 
As ante mkuu na UDOM nipo au nichekie na huko kaka??
 
naombeni msaada mchekini huyu alpha kisaka au inyasi roman msaada haka ka mchina kangu jau
 
wakuu naomba mnielimishe hapa,cas ndionn nakunautofauti gani nawaliomba wizarani kwakutumia barua? nainakuaje uchaguliwe udom wakati sikuiona kwenye vyuo vilivotolewa nawizara? kuuliza siyo ujinga.
 
wakuu naomba mnielimishe hapa,cas ndionn nakunautofauti gani nawaliomba wizarani kwakutumia barua? nainakuaje uchaguliwe udom wakati sikuiona kwenye vyuo vilivotolewa nawizara?kuuliza sioujinga.

kifupi CAS ni central addimision system ni njia inayo2miwa na nacte na tcu kudahili watahiniwa kwa njia ya mtandao kujiunga na vyuo mbali*2 haina tofauti sana barua icpokuwa cas inamrahisishia mwombaji kupata updates mbalimbali.

Mfano, anaweza kuedit course na vyuo alivyochagua kutegemeana na competion kwa maelezo zaid tumia google.
 

hasante.
 

Nilimtumia ndugu yangu kwa njia ya barua lakini majina yaliyotoka jina lake halimo wakati kila kitu kilijazwa vizuri kabisa

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Nilimtumia ndugu yangu kwa njia ya barua lakini majina yaliyotoka jina lake halimo wakati kila kitu kilijazwa vizuri kabisa

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

kama alikuwa amepata div3 nzuri atakuwa amechaguliwa udom direct entry.

Nenda fb kwenye page ya nacte utaona watu wa udom waliochaguliwa kwa barua za wizarani.
 
Naomba mniangalizie jina Isack charles index s0605/0125/2003
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…