Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NACTE tayari wametoa batch ya kwanza kwa walio omba vyuo vya ualimu kupitia cas majina yapo kwenye website na facebook
Jamani niangalizieni jina langu Joseph Bernard S0713/045
wakuu naomba mnielimishe hapa,cas ndionn nakunautofauti gani nawaliomba wizarani kwakutumia barua? nainakuaje uchaguliwe udom wakati sikuiona kwenye vyuo vilivotolewa nawizara?kuuliza sioujinga.
kifupi cas ni central addimision system ni njia inayo2miwa na nacte na tcu kudahili watahiniwa kwa njia ya mtandao kujiunga na vyuo mbali*2 haina tofauti sana barua icpokuwa cas inamrahisishia mwombaji kupata updates mbali*2 mf.anaweza kuedit course na vyuo alivyochagua kutegemeana na competion kwa maelezo zaid 2mia google*

Nilimtumia ndugu yangu kwa njia ya barua lakini majina yaliyotoka jina lake halimo wakati kila kitu kilijazwa vizuri kabisa
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums