sosoliso
JF-Expert Member
- May 6, 2009
- 8,540
- 9,473
Shule nzuri,mazingira mazuri, walimu wenye ujuzi na elimu ya kutosha,wanalipwa vizuri,lazima watoe wanafunzi wa ukweli
Jee unajua ada ya shule hiyo ni kiaci gani..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shule nzuri,mazingira mazuri, walimu wenye ujuzi na elimu ya kutosha,wanalipwa vizuri,lazima watoe wanafunzi wa ukweli
Jee unajua ada ya shule hiyo ni kiaci gani..?
Umeandika vizuri sana! Sasa ona, Marian kuna sister primary school inaitwa Marian pre & Pri. School, 13 of their last year std VII have been selected to join special gov. sec schools you mentioned above and the like!Lakini wakati wa kusahihisha zinatumika namba mfano P.2345/123; P=Primary, 2345=Namba ya shule na /123 Ni namba ya mwanafunzi; kwahiyo wakati wa kusahihisha huwezi gundua hata ni shule gani, jinsia, kabila wala dini. Halafu tukianza kufikiri negative hata wavulana watasema wasichana wamependelewa mbona hakuna wavulana? Hapo ni uwezo wa watu. Halafu inaonekana hata hizi familia zao wanajua umuhimu wa Elimu kwasababu watakuwa wamepangiwa shule za serikali za vipaji maalum yaani bKILAKALA, MSALATO AU TABORA GIRLS. Lakini wazazi wao wamewapeleka private na Form Four 2016 wakifaulu mtaanza kulalama tena, watu wasonga mbele. "Kama Elimu ni gharama jaribu Ujinga"
Around 2 milioni na kidogo kwa mwaka
Wanangu kaza kamba, Marian kuna ushindani mkubwa, msibweteke! Mapambano ndiyo yanaanza. Hapo huwa ni kufa na kupona. Nisalimie Fr. Bayo, tunampenda sana baba yetu!!!!!!!!!!!!!!
View attachment 78886
Wanafunzi walioongoza mtihani wa taifa wa darasa la saba wa mwaka 2012, Janeth Kijazi (kushoto) Justina Kalala (katikati)na Kellen Mudogo wakiwa shule ya sekondari ya wasichana, St Marian Bagamoyo, jana, walikoanza kidato cha kwanza
Wewe ni zao la Marian...?
Mweeh.. Wana haki ya kuongoza..
mbona ada hiyo ni ya kawaida sana kwa shule za binafsi
Kawaida ada hiyo kwa shule za msingi za binafci Mkuu..?
Kweli, kwa boarding primary schools ni kawaida sana1
Wapelekeni watoto wenu shule,acheni longolongo,elimu ni gharama!Hii NECTA ya Dr. Joyce Ndalichako INAPENDELEA. Mbona majina ni yale yale ya Wagalatia!
It is unaffordable to poor families!Around 2 milioni na kidogo kwa mwaka
Tusiime na Marian wanapendelea wakristo, mbona sisi hatupo. Tutaandamana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ha ha ha !! Pale Marian ni akili ya mtoto wako tu mkuu CHUAKACHARA!! Kama wa kwako anashinda madrasa na kusoma jinsi ya kujitoa mhanda na maandamano hasa ile mihadhara ya jioni badala ya kufanya Home work usitegemee akanyage Marian, Cannossa, St. Joseph, St. Maria Goreth, Anwarite, St. Francis, Kifungilo, Kibosho, etc. Yeye ataenda shule za kawaida tu mku hasa zile za kata maana ndizo zinachukua grade ya mwisho!! Funguka, fanya mageuzi kuanzia mwaka huu mtoto wako mpe robo elimu madrasam na robo tatu elimu dunia!!! Vinginevyo matokeo yakitoka mtataka kumtoa yule mama pale NECTA!!! Dah nilishangaa mabinti walioongoza wote majina ni yale ya wagalatia!!! Na hao hao wataongozo vidato vya O na A level kama watapata waalim wazuri sasa pale tena utashangaa maandamano!! Nyumba bora na imara ni msingi imara!!!