Walioongoza mitihani ya Darasa la saba hawa hapa!

Unasema kweli kabisa. Hawa walisoma shule nzuri (by Tanzanian standards). Utashangaa kama nikikwambia kuwa Hiyo shule ya marian walipokwenda hwa watoto, wana shule yao ya msingi inayoitwa pia Marian Pre & Primary school (formaly Epiphany) , imetoa watoto 13 kwenda shule za vipaji za serikali-ilboru, kibaha, Kilakala, Msalato etc! Na watoto wanaosoma shule hiyo ni wa vigogo ingawa walalahoi kama sisi wamo!
 
Umeandika vizuri sana! Sasa ona, Marian kuna sister primary school inaitwa Marian pre & Pri. School, 13 of their last year std VII have been selected to join special gov. sec schools you mentioned above and the like!
 

Mtihani huo sikuhizi hauna hadhi tena, hata asiyejua kuandika jina anaandokiwa, hesabu zinawekwa kwenye multiple choice kweli? tunatengeneza taifa la mbumbumbu.

Mfano;

34 - 8 =

a) 22
b) 30
c) 20
d) Hakuna jibu sahihi

This is foolish
 
hamna k2 vilaza 2 hao namba multple choice mithan yte kuchagua heruf.dz foolsh
 
Haya majina sitashangaa ndugu
zangu kuanza kuandamana mama
Ndalichako ajiuzuru!
big up madogo speed iwe iyo iyo!
 
Haya majina sitashangaa ndugu
zangu kuanza kuandamana mama
Ndalichako ajiuzuru!
big up madogo speed iwe iyo iyo! Kazeni mwanzo mwisho...!! Ila sio kuishia njiani tena...!!
 
Tusiime na Marian wanapendelea wakristo, mbona sisi hatupo. Tutaandamana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ha ha ha !! Pale Marian ni akili ya mtoto wako tu mkuu CHUAKACHARA!! Kama wa kwako anashinda madrasa na kusoma jinsi ya kujitoa mhanda na maandamano hasa ile mihadhara ya jioni badala ya kufanya Home work usitegemee akanyage Marian, Cannossa, St. Joseph, St. Maria Goreth, Anwarite, St. Francis, Kifungilo, Kibosho, etc. Yeye ataenda shule za kawaida tu mku hasa zile za kata maana ndizo zinachukua grade ya mwisho!! Funguka, fanya mageuzi kuanzia mwaka huu mtoto wako mpe robo elimu madrasam na robo tatu elimu dunia!!! Vinginevyo matokeo yakitoka mtataka kumtoa yule mama pale NECTA!!! Dah nilishangaa mabinti walioongoza wote majina ni yale ya wagalatia!!! Na hao hao wataongozo vidato vya O na A level kama watapata waalim wazuri sasa pale tena utashangaa maandamano!! Nyumba bora na imara ni msingi imara!!!
 

Nakuelewa sana na asante kwa ushauri mwema. Lakini sisi tumeumbwa kumtafuta ALLAH, elimu ahera na si Elimu dunia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…