Walioongoza mitihani ya Darasa la saba hawa hapa!

haki ya mwenyezi Mungu, Uislamu na Waislamu sometimes ni Nouma, ninyi ni ndugu zetu lakini wakati mwingine hamjiulizi cha kufanya ila mnataka vitokee tuu kama Mana kule jangwani kipindi cha Nabii Musa na wana wa Israeli. Hakuna kitu ya namna hiyo Mungu alisema asiyefanya kazi basi asile, Shika sana Elimu sasa ninyi ndugu zetu bado hamtakikuikama vizuri elimu kwahiyo hata kula yenulazima iwe ya tabu, na niwangapi wako tayarikupeleka watoto kwenye shule ya gharama wakatikipato chake ni cha kununua kanga, kanzu na kupika wali nazi tu? Priorities in life ni muhimu sana
 
Itawapasa kuacha kucheza ngoma, kwenda madras masaa machache tu kwa siku na kujisomea elimu dunia masaa mengi ili waweze kuongoza kwa wingi.
 
Hii NECTA ya Dr. Joyce Ndalichako INAPENDELEA. Mbona majina ni yale yale ya Wagalatia!

Hiyo shule ilishawahi kuwa na kashfa ya kuwa na mitihani kabla haijatolewa rasmi. Kwa hiyo sioni ajabu ikiwa wanafunzi wake wote watafaulu.

Wajinga ndio waliwao.

Hao hao wagalatia ndio tulioona wakiingamiza hii nchi toka ilipopata madaraka, wameifanya imekuwa maskini wa mwisho duniani (mfano mzuri ni wakati wa nyerere).
 

wa tatu kulia anafaa sana kuwa mke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…