NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Wewe ulikwenda MOROCCO kushuhudia Simba ikipigwa tatu nunge na Rajacasablanca??Na ushabiki wako kindakindaki wa UTO hujaenda Algeria hama timu
Timu haina fungu la kuchukua angalau mashabiki kazaa??Kk ishu sio kupanda ndege tu, una PASSPORT? Una hela ya kufikia Hotelini?
Serikali imelipia NAULI TU.
Gharama zingine ni zako.
Kabla ya kulaumu muelewe hilo kwanza.
Mashabiki wote wale wanaoambatana na timu wameenda labda wale walikosa passport na pesa za kujikimu, au mlitaka nazo watoe Serikali?
Kama ni ishu ya lialia kukosa passport sawaTatizo Lia Lia wengi hawana passport[emoji28]
Mbona wamekuacha mkuu?Nitangulize kutoa baraka na kila la heri kwa Yanga SC katika mpambano wa marudiano huko Algeria.
Kongole kwa Mh. Raisi kwa kutoa ndege ya mashabiki na wadau wa mpira kwenda kuisapoti Yanga SC.
NALIA NGWENA najiuliza hao mashabiki waliopanda ndege ni mashabiki wa kuleta morali/kushangilia muda wote au ni mashabiki wa kuvaa suti na kupiga selfii (watalii)?
Nitasikitika sana kama mashabiki lialia/wenye morali ya kushangilia endapo watakua wameachwa.
Nawasilisha hoja.
Nina shughuli nyingi mkuu ikiwemo kutafakari namna gani ya kumpiga kanji.Mbona wamekuacha mkuu?
Wewe ulikwenda MOROCCO kushuhudia Simba ikipigwa tatu nunge na Rajacasablanca??
Kuna mashabiki wengi pasport wanazo lakini Hilo zali limeishia juu juu tu.Ukitaka upande ndege iliyotolewa na Rais wenu uwe na vifuatavyo:
1. CONNECTION
2. Passport
3. Hela ya Hotel
4. Covid 19 Vacvine Certificate
La muhimu kuliko yote ni CONNECTION baba.
Fungu la nini? Mashabiki wote wana haki sawa, yaani timu iweke fungu la kuwalipia mashabiki? Wakijaa pale jangwani utambeba nani?Timu haina fungu la kuchukua angalau mashabiki kazaa??
Kuna mashabiki Lia Lia wa timu kila timu inaposafiri hao wapo na timu imechukua shilingi ngapi hela za mama haiwezi kumudu angalau hata mashabiki kadhaa.
Mashabiki kipaumbele ni wale wanaosafiri na timu kila sehemu, na wale wanafika 100+Kuna mashabiki wengi pasport wanazo lakini Hilo zali limeishia juu juu tu.
Kazaa = kadhaa. Huna akili.Timu haina fungu la kuchukua angalau mashabiki kazaa??
Kuna mashabiki Lia Lia wa timu kila timu inaposafiri hao wapo na timu imechukua shilingi ngapi hela za mama haiwezi kumudu angalau hata mashabiki kadhaa.
ndugu yng unategemea mashabiki ndo watatuokoa kwenye hii game!!!kule kipigwe tu hatuwezi kwenda na mashabiki watakaohamasisha wachezaji uwanjani coz hatutapata room ya mashabiki wengi wa ivyo uwanjani...ILA NAHISI TUNATOBOA HII GAMENitangulize kutoa baraka na kila la heri kwa Yanga SC katika mpambano wa marudiano huko Algeria.
Kongole kwa Mh. Raisi kwa kutoa ndege ya mashabiki na wadau wa mpira kwenda kuisapoti Yanga SC.
NALIA NGWENA najiuliza hao mashabiki waliopanda ndege ni mashabiki wa kuleta morali/kushangilia muda wote au ni mashabiki wa kuvaa suti na kupiga selfii (watalii)?
Nitasikitika sana kama mashabiki lialia/wenye morali ya kushangilia endapo watakua wameachwa.
Nawasilisha hoja.
Popoma wewe [emoji41]Kazaa = kadhaa. Huna akili.