Dish
JF-Expert Member
- Jun 3, 2019
- 624
- 922
Nitangulize kutoa baraka na kila la heri kwa Yanga SC katika mpambano wa marudiano huko Algeria.
Kongole kwa Mh. Raisi kwa kutoa ndege ya mashabiki na wadau wa mpira kwenda kuisapoti Yanga SC.
NALIA NGWENA najiuliza hao mashabiki waliopanda ndege ni mashabiki wa kuleta morali/kushangilia muda wote au ni mashabiki wa kuvaa suti na kupiga selfii (watalii)?
Nitasikitika sana kama mashabiki lialia/wenye morali ya kushangilia endapo watakua wameachwa.
Nawasilisha hoja.
Hata zingetolewa ndege nne bado wasinge weza kwenda mashabiki wote
Itoshe kusema kabla hujaandika uzi wakati mwingine tingisha ubongo je unachokiandika kina tija au ndo ilimradi vidole gumba vinawasha na bando ni lako mwenye