Waliopanda ndege ya Mama kwenda Algeria ni mashabaiki wa Yanga SC au wavaa suti tu wanaokwenda kutalii na kupiga selfie?

Waliopanda ndege ya Mama kwenda Algeria ni mashabaiki wa Yanga SC au wavaa suti tu wanaokwenda kutalii na kupiga selfie?

Nitangulize kutoa baraka na kila la heri kwa Yanga SC katika mpambano wa marudiano huko Algeria.

Kongole kwa Mh. Raisi kwa kutoa ndege ya mashabiki na wadau wa mpira kwenda kuisapoti Yanga SC.

NALIA NGWENA najiuliza hao mashabiki waliopanda ndege ni mashabiki wa kuleta morali/kushangilia muda wote au ni mashabiki wa kuvaa suti na kupiga selfii (watalii)?

Nitasikitika sana kama mashabiki lialia/wenye morali ya kushangilia endapo watakua wameachwa.

Nawasilisha hoja.

Hata zingetolewa ndege nne bado wasinge weza kwenda mashabiki wote
Itoshe kusema kabla hujaandika uzi wakati mwingine tingisha ubongo je unachokiandika kina tija au ndo ilimradi vidole gumba vinawasha na bando ni lako mwenye
 

Attachments

  • Screenshot_20230602-054531_Twitter.jpg
    Screenshot_20230602-054531_Twitter.jpg
    291.8 KB · Views: 2
Hata zingetolewa ndege nne bado wasinge weza kwenda mashabiki wote
Itoshe kusema kabla hujaandika uzi wakati mwingine tingisha ubongo je unachokiandika kina tija au ndo ilimradi vidole gumba vinawasha na bando ni lako mwenye
We kweli dishi Soma vizuri nilichoandika
 
Ukitaka upande ndege iliyotolewa na Rais wenu uwe na vifuatavyo:
1. CONNECTION

2. Passport
3. Hela ya Hotel
4. Covid 19 Vacvine Certificate


La muhimu kuliko yote ni CONNECTION baba.
Thread ifungwe comments nyingine zitakuwa porojo tu.
 
Sisi Simba hatuhusiki kabisaaaa👐👐👎👎
Tuwaache na rekodi yao ya kuwa walishangilia goli la USMA, tena hapo baada ya Kibwana kulambishwa mchanga, na beki zingine zikafinywa na kugeuzwa kama chapati kama vile Chama alivamia uwanjani.
 
Ni viongozi wa ccm[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Walikuwa wanatafuta sababu ya kupata tour ya kupongezana [emoji1787]
Nimemuona yule jamaa mfupi wa CCM pale LUMUMBA
 
Kwa maoni yangu binafsi, nadhani issue haikuwa mtu kupanda ndege na kutua Algeria tu, ilikuwa ni pamoja na uwezo wa mtu kujilipia gharama za malazi na chakula anapokuwa huko; na vile vile kuwa na visa ya kuingia Algeria.
Tatizo la msingi ni konekshen tu


Km ukiwa na konekshen passport itapatikana ndan ya siku mbili

Chanjo ya kovid na homa ya manjano utaipata ndan ya lisaa limoja

Viza itashughulikiwa na mamlaka


Malaz yatasimamiwa na uto


Simpo laik zat
 
Wakati wa mechi tutajua maana watatengewa sehemu yao. Tunategemea tuone mashabiki zaidi ya 250, yaani 200 waliokwenda na kama 50 hivi wanaoishi kule.
 
Back
Top Bottom