Sasa baasi wamechukua mafazaa watupu hakuna washangiliajiUkitaka upande ndege iliyotolewa na Rais wenu uwe na vifuatavyo:
1. CONNECTION
2. Passport
3. Hela ya Hotel
4. Covid 19 Vacvine Certificate
La muhimu kuliko yote ni CONNECTION baba.
Hivi vigezo umevileta wewe Sasa .Huwezi kwenda wakati huwezi kununua hata maji ya wachezaji, asilimia kubwa wameenda watu ambao wanaweza kuongeza motivation kwa Timu na siyo unaenda huko na hela yako ya kodi ya nyumba Kwa Mnyamani ukirudi unatimuliwa
NAKAZIA [emoji123]Sasa baasi wamechukua mafazaa watupu hakuna washangiliaji
Kuna ubaya nchi kusapoti michezo ??Matumizi mabaya ya national cake. Watoto wanakosa madawati shuleni, Wajazito wananunua gloves, maji shida n.k hela zinawekwa kununua magoli na usafiri wa kilabu vitu visivyo na ulazima
Hahahahaha nawatakia Kila la kheri, Taifa kwanzaTutakesha nao maana j2 ni mapumziko pia 🤣🤣🤣
Hao wote wameenda kaka1. Sijamwona shabiki maarufu Mzee mpili akipanda ndege
2. Sijamwona shabiki wa JASHO na damu Jeshi la mtu mmoja MZEE WA UTOPOLO akipanda ndege
3. Sijamwona Mzee wa vigelegele akipanda ndege
4. Sijamwona mboto mbotinyo akipanda ndege
5. Sijamwona mtanga comedy akipanda ndege
6. Sijamwona Mzee Senga comedy akipanda ndege
7. Sijamwona yule jamaa wa kitambi bandia na kujipaka masizi akipanda ndege
Hawa ndio nawajua mashabiki wafia timu kutoka miaka dahar.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikajua naye yuko huko kwa waarabu, kumbe yuko bonyokwa kwake.Na ushabiki wako kindakindaki wa UTO hujaenda Algeria hama timu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wanakosajeee?? WoiiiiiTatizo Lia Lia wengi hawana passport[emoji28]
Hata wee huna passport?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We umewahi kwenda wapi na mbumbumbu fc?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwezi kwenda wakati huwezi kununua hata maji ya wachezaji, asilimia kubwa wameenda watu ambao wanaweza kuongeza motivation kwa Timu na siyo unaenda huko na hela yako ya kodi ya nyumba Kwa Mnyamani ukirudi unatimuliwa
Pamoja na yulee mvaa capelo kwa nyuma, pia kimwanyA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1. Sijamwona shabiki maarufu Mzee mpili akipanda ndege
2. Sijamwona shabiki wa JASHO na damu Jeshi la mtu mmoja MZEE WA UTOPOLO akipanda ndege
3. Sijamwona Mzee wa vigelegele akipanda ndege
4. Sijamwona mboto mbotinyo akipanda ndege
5. Sijamwona mtanga comedy akipanda ndege
6. Sijamwona Mzee Senga comedy akipanda ndege
7. Sijamwona yule jamaa wa kitambi bandia na kujipaka masizi akipanda ndege
Hawa ndio nawajua mashabiki wafia timu kutoka miaka dahar.
Nakumbuka hapa bongo kuna timu zilipigwa faini baada ya kushindwa kumudu hela ya nauliKuna watanzania wengi wanasoma huko Algeria, hili zoezi la kwenda na ndege ya Air Tanzania wala kupeleka mashabiki halikuwa na umuhimu, ni ubadhilifu tu wa mali za umma.
Serikali kama ilitaka kusaidia ingelipia baadhi ya gharama za usafiri wakaenda na mashirika mengine kama kawaida, gharama zingekuwa chini zaidi kuliko kurusha ndege halafu ikapaki siku 4 pale Algiers (na hata hili halina ulazima maana CAF wanatoa mafungu ya kutosha kulipia gharama hizi za usafiri).
Kule Misri mechi na Uganda hatukupeleka mashabiki, waliopo kule wakaja kushangilia tukashinda. Tulivyorudiana hapa Dar, tukapitisha zoezi la kununua tiketi, uwanja ukajaa tukafungwa. Akili kumkichwa.
Kwa maoni yangu binafsi, nadhani issue haikuwa mtu kupanda ndege na kutua Algeria tu, ilikuwa ni pamoja na uwezo wa mtu kujilipia gharama za malazi na chakula anapokuwa huko; na vile vile kuwa na visa ya kuingia Algeria.Nitangulize kutoa baraka na kila la heri kwa Yanga SC katika mpambano wa marudiano huko Algeria.
Kongole kwa Mh. Raisi kwa kutoa ndege ya mashabiki na wadau wa mpira kwenda kuisapoti Yanga SC.
NALIA NGWENA najiuliza hao mashabiki waliopanda ndege ni mashabiki wa kuleta morali/kushangilia muda wote au ni mashabiki wa kuvaa suti na kupiga selfii (watalii)?
Nitasikitika sana kama mashabiki lialia/wenye morali ya kushangilia endapo watakua wameachwa.
Nawasilisha hoja.
Kk ishu sio kupanda ndege tu, una PASSPORT? Una hela ya kufikia Hotelini?
Serikali imelipia NAULI TU.
Gharama zingine ni zako.
Kabla ya kulaumu muelewe hilo kwanza.
Mashabiki wote wale wanaoambatana na timu wameenda labda wale walikosa passport na pesa za kujikimu, au mlitaka nazo watoe Serikali?