Waliopanga mandamano October 29 walikuwa wana lengo la kuvuruga uchaguzi na amani Ili nchi isitawalike

Waliopanga mandamano October 29 walikuwa wana lengo la kuvuruga uchaguzi na amani Ili nchi isitawalike

Wazolee

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2018
Posts
4,177
Reaction score
4,887
Magaidi ni watu ambao huwa wanaanda mashambulizi Kwa siri Kwa ajili ya kuwazuru watu au miundombinu ya serikali na hiki ndicho kilichofanywa Oct 29

OCT 29 Ilikuwa ni siku muhimu Kwa Taifa letu watu wakitimiza haki Yao ya kikatiba ya kupiga kura Ili kuchagua viongozi wao hakuna serikali yoyote Duniani itakayoruhusu kifanyike kitu chochote siku kama hiyo zaidi ya uchaguzi uliyopangwa hivyo basi kupanga maandamo siku hiyo ni ugaidi

Kufanya Fujo katika vituo vya kupigia kura na kuharibu baadhi ya taratibu zilizokuwa zinaendelea katika uchaguzi pia ni ugaidi maana lengo lao lilikuwa kuvuruga uchaguzi

Mashambulizi Yao yalipangwa kigaidi inaonekana Kuna watu walishapewa majukumu ya kufanya siku hiyo na kupangwa katika nafasi zao na ndio maana at the same time

Petro station zilichomwa moto
Vituo vya mwendokasi vilichomwa moto
Mabasi ya mwendo Kasi yalichomwa moto
Biashara za wananchi zilichomwa moto
Mabasi ya wafanya biashara yalichomwa moto

Hayo matukio yote yamefanyika ndani ya muda Mmoja hivyo inaonekana walishapanga muda na saa siku mbili au tatu kabla ya siku ya tukio Kwa jinsi gani watashambulia
Mipango kama hii hupangwa na magaidi rejea kulipuliwa Kwa ubalozi wa Marekani nchini Tanzania, Kenya na Uganda mda ulikuwa mmoja

Lengo lao lilikuwa kuvuruga uchaguzi na Dar na baadhi ya mikoa iwake moto haya ni malengo ya kigaidi

Waliwatumia vijana wadogo kijotoa muhanga aidha Kwa kuwalipa pesa au kuwashawishi na kuwajaza chuki miyoni mwao hizi ni mbinu zinazo tumiwa na magaidi

Intelijensia inaonyesha kuwa ni ngumu vijana wa under 25 kuandamana Kwa ajili ya kudai katiba mpya au tume huru ya uchaguzi hivyo basi hawa vijana lazima walidanganywa Kwa kupewa pesa au kujazwa chuki

Lengo lao lilikuwa kuvuruga uchaguzi na amani Ili nchi isitawalike Ili wao wafanye au wapate wanacho kitaka haya ni malengo ya kigaidi
 
Point of correction. Maandamano hayakiwa Siri, yalitangazwa miezi mitatu kabla na watu wakawa wanahamasishana wazi wazi.

Au umesahau hashtag maarufu ya "oktoba tunatiki" vs "oktoba tunatoka"??
 
Id za kuanzia 2017 mpaka sasa ukiona zina shabikia huu utawala zilikuwa kikosi cha abduli samia na Trace IP na zote zinatokea sehemu moja
Screenshot_20251219-213405.png
 
Damu hizi zitawalilia wote waliohamisha haya maandamano

Mpaka sasa 99% karma imeanza kuwashughulikia

Akiwemo yule jamaa maarufu hapa anayeitwa....
 
Magaidi ni watu ambao huwa wanaanda mashambulizi Kwa siri Kwa ajili ya kuwazuru watu au miundombinu ya serikali na hiki ndicho kilichofanywa Oct 29

OCT 29 Ilikuwa ni siku muhimu Kwa Taifa letu watu wakitimiza haki Yao ya kikatiba ya kupiga kura Ili kuchagua viongozi wao hakuna serikali yoyote Duniani itakayoruhusu kifanyike kitu chochote siku kama hiyo zaidi ya uchaguzi uliyopangwa hivyo basi kupanga maandamo siku hiyo ni ugaidi

Kufanya Fujo katika vituo vya kupigia kura na kuharibu baadhi ya taratibu zilizokuwa zinaendelea katika uchaguzi pia ni ugaidi maana lengo lao lilikuwa kuvuruga uchaguzi

Mashambulizi Yao yalipangwa kigaidi inaonekana Kuna watu walishapewa majukumu ya kufanya siku hiyo na kupangwa katika nafasi zao na ndio maana at the same time

Petro station zilichomwa moto
Vituo vya mwendokasi vilichomwa moto
Mabasi ya mwendo Kasi yalichomwa moto
Biashara za wananchi zilichomwa moto
Mabasi ya wafanya biashara yalichomwa moto

Hayo matukio yote yamefanyika ndani ya muda Mmoja hivyo inaonekana walishapanga muda na saa siku mbili au tatu kabla ya siku ya tukio Kwa jinsi gani watashambulia
Mipango kama hii hupangwa na magaidi rejea kulipuliwa Kwa ubalozi wa Marekani nchini Tanzania, Kenya na Uganda mda ulikuwa mmoja

Lengo lao lilikuwa kuvuruga uchaguzi na Dar na baadhi ya mikoa iwake moto haya ni malengo ya kigaidi

Waliwatumia vija wadogo kijotoa muhanga aidha Kwa kuwalipa pesa au kuwashawishi na kuwajaza chuki miyoni mwao hizi ni mbinu zinazo tumiwa na magaidi

Lengo lao lilikuwa kuvuruga uchaguzi na amani Ili nchi isitawalike Ili wao wafanye au wapate wanacho kitaka haya ni malengo ya kigaidi

Usifurahie kuishi na ujinga au uwendawazimu.

Jielimisheni, ili ujitenge na kifungo cha ujinga. Neno ugaidi halina asili ya Kiswahili bali ni neno lililotafutiwa tafsiri toka kwenye kiingereza, likimaanisha terrorism. Kwa kuwa huelewi hata maana ya neno ugaidi, tafuta english dictionery kasome maana ya terrorism. Najua ukisoma utakuja hapa kwa kushukuru maana utakuwa umepungukiwa na ujinga.
Kwa ufupi terrorism linatokana na neno terror, na terror maana yake ni kutisha. Kama utakuwa na akili nzuri, utagundua kwenye tukio lile la Oct 29, terror ilifanywa na watawala. Ile kuwatembeza askari mitaani, magari ya polisi, vifaru, kuua watu hovyo, vyote vile vilifanywa ili kuwatisha watu (to terrorise people). Kwa hiyo kwenye tukio lile la Oct 29, watawala walifanya state terrorism. Kuwatisha watu ili watu waogope kudai haki zao, na wakishaogopa, watawala waweze kujitawaza kwenye nafasi za uongozi bila ya kuchaguliwa, na wasihojiwe wala kusutwa na yeyote. Na hiyo inafanywa karibia na tawala zote za kidikteta, japo wengi wa hao madikteta hawajafikia kiwango cha udikteta huu wa kwetu katika kiwango cha mauaji.
 
Petro station zilichomwa moto
Vituo vya mwendokasi vilichomwa moto
Mabasi ya mwendo Kasi yalichomwa moto
Biashara za wananchi zilichomwa moto
Mabasi ya wafanya biashara yalichomwa moto
Ofisi za Serikali ambazo hata kama chama kingine kingeshinda uchaguzi zingetumia hizohizo.
Vituo vya Polisi vilichomwa(Hapa nakubali)
Wizi wa mali kwenye biashara za watu binafsi na uharibifu
Mabasi ya watu binafsi yalichomwa
Magari ya mizigo ya watu binafsi yalichomwa


Halafu angalia huyu msenge akiwa kajificha kenya, anashangilia kiwanda cha magodoro kuchomwa moto, hii inahusiana nini na uchaguzi au katiba

1766170403633.png
 
Back
Top Bottom