waliopata 26 up to 27 wataenda ADVANCE KWA MWAKA 2012

waliopata 26 up to 27 wataenda ADVANCE KWA MWAKA 2012

Yaani hapo acheni masiala! Advance wanaoenda ni mwisho division 3 hakuna ya 26/27 hata kama comb. Zimebalance huwez kwenda!
 
kjana uckate tamaa mtihani kuwa kgezo cha mwanafunzi kuendelea ni tatizo ndo maana hakuna hata kwenye vyuo vikuu hakuna project za maana kwa sababu mnawaza kuajiriwa,sio wabunifu ht kidogo nenda college uendeleze kitu unachokipenda
 
Serkali ikifanya hiv basi watakua wameniokoa na mimi sababu nina div 3 yenye credit mbili yani BiO-B na chem C alafu masomo mengine yote nina D.

Mulugo tusaidie jamani wengine tuna uwezo tu sema basi tu maisha..
 
apo cha msingi ni kutafuta tu chuo kuendeleza fani kwani serekali yetu hoi kwani baada ya kufeli wamepandisha madaraja wanataka kutuangamiza tu
 
naona itafika kipindi 30 nayo ni kufaulu, sijui watakuja kutumia hadi 32, afu ziro iwe 35, statisticaly itawapendeza serikali. poor nation.
 
Mwelekeo wa elimu yetu unasikitisha sana. Yaani kila kukicha Wizara ya Elimu inaleta vituko tu. Waliomaliza Darasa la 7 wamechukua hadi alama 70/250 (28%) wamepelekwa sekondari. sasa kama kuna huo mpango wa kuchukua hata waliopata pointi 27 waende A level, ni wazi kuwa hili kundi lililoko Kidato cha Kwanza likifika Kidato cha Nne watapeleka A level hata wenye pointi 32. Kwa kweli kwenye elimu bado kazi kubwa ipo. Sijui wakurugenzi wanafanya kazi gani kwa sababu kwa maamuzi yanayofanyika ni bira wizara isiwe na wataalamu wabakinwansiasa tu.

Mungu ibariki nchi yetu, ibariki na elimu yetu inayopita katika kipindi kibaya sana
 
Mwenye division 4 ya 26 au 27 maana ake amefaulu ila amekosa nafasi.
 
Kijana acha huo ujinga wa kufikiri hivyo....haitatokea kamwe wenye 4 wakaenda advance....hata TUME yenyewe inachunguza nini kifanyike kuwanusuru hao waliobaki sio tuwafanyie nini hawa walio kwisha ondoka....we jipange uende chuoni au kama una hamu na kupita advance karudie form 2 ni hayo tu
 
Never ever! Kama una credit 3 tafuta private yako ujipange kuanza msuri,bt serikalini haitatokea kamwe,kama vp nenda collage then maisha yanasonga,
 
Kama wakiwapeleka wenye four ya 26/27 basi na 4m 4 wa miaka iliyopita watalalamika nao wapelekwe advance!
 
tupo wengi mi nilimaliza 2010 nikaenda kusoma nje advance nimefaulu nimepata principle pass 3 ila sina hamu chuo tabu sina hamu
Serkali ikifanya hiv basi watakua wameniokoa na mimi sababu nina div 3 yenye credit mbili yani BiO-B na chem C alafu masomo mengine yote nina D.

Mulugo tusaidie jamani wengine tuna uwezo tu sema basi tu maisha..
 
Wanasiasa acheni kulimbikiza mali kwa maslahi yenu, bosheni elimu kwanza munalipeleka wapi taifa. Hili sasa ni taifa la NGOSWE.
 
Kama wakiwapeleka wenye four ya 26/27 basi na 4m 4 wa miaka iliyopita watalalamika nao wapelekwe advance!

Tatizo mwaka huu hakuja tendeka haki, haiwezekan wanafunz kufaulu mock na mitihan mengne alafu necta waje feli. Na pia kuna mtu ajafanya mtihan na amepass na kuna mwengne hajafanya masomo ya sayans lakn amepas nayo
 
Back
Top Bottom