Mwelekeo wa elimu yetu unasikitisha sana. Yaani kila kukicha Wizara ya Elimu inaleta vituko tu. Waliomaliza Darasa la 7 wamechukua hadi alama 70/250 (28%) wamepelekwa sekondari. sasa kama kuna huo mpango wa kuchukua hata waliopata pointi 27 waende A level, ni wazi kuwa hili kundi lililoko Kidato cha Kwanza likifika Kidato cha Nne watapeleka A level hata wenye pointi 32. Kwa kweli kwenye elimu bado kazi kubwa ipo. Sijui wakurugenzi wanafanya kazi gani kwa sababu kwa maamuzi yanayofanyika ni bira wizara isiwe na wataalamu wabakinwansiasa tu.
Mungu ibariki nchi yetu, ibariki na elimu yetu inayopita katika kipindi kibaya sana