Waliopata division 0 wamesahaulika kabisa

Waliopata division 0 wamesahaulika kabisa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Kwa masikitiko makubwa ninawakumbuka wale wote waliopata division 0. Haiku a anaewaongelea kabisa vijana wetu hawa Vaasa ya kazi kubwa waliyoifanya.

Miaka minne shuleni uzungushe yai na kukusanya miswaki so jambo dogo.
 
Waliopata div zero ni wapumbavu wanaopaswa kupuuzwa Haiwezekani maswali yote yale yanayogusa kila nyanja ya kimaisha upate F. Historia F, biolojia F, hesabu F, uraia F, mpaka kiswahili lugha yako ya Taifa F.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha siyo formal education tu........kile unachobaki nacho baada ya kutoa elimu ndiyo muhimu sana,mbona tunawasomi Ila walijenga pale Jangwani kituo cha mwendokasi?

Wao tuliopata division 5 jipangeni tu mtatusua
 
Back
Top Bottom