Waliopata mafanikio na Adsense, tunaomba ushuhuda na ushauri wenu

Tafuta upwork na kabla ya kumpa kazi soma project zake za awali na review ya clients wake.
Reviews sometimes ni fake. Nimewahi kumpa mtu kazi Fiverr ana uwezo mdogo sana, nkaishia kucancel tu.

Sema kuna Freelancing site mpya inaitwa Freeup.net wanafanya screening ya hali ya juu. Labda nitajaribu huko.

Issue ni kwenye malipo, hii ya kulipana per hour sijawahi kuielewa. Mfano unataka article writer atafanyaje kazi on hourly basis.
 
Upwork wako makini sana ndiyo maana nimeipendekeza maana mimi nafanya kazi freelaner, fiverr, na upwork na ni kati ya top rated freelancers kutoka tanzania huko upwork, so nafahamu jinsi wanavyoreview clients reviews ni reliable.
Hiyo mpya sijaijaribu.
Hapana siyo lazima ulipe kwa masaa, mfano mimi kuna client nafanyaga naye subtitle syncing analipa kwa saa lakini siyo kwa saa kama saa maaana ukimlipa mtu hivyo yule asiyekuwa na speed atapokea pesa nyingi kuliko mwenye speed, so analipa kwa lisaa limoja la video una stample in muda manually, hivyo makubaliano unaweza sema hii kazi itachukua masaa matano basi itabidi astamp hayo masaa mannually.
Kazi za kulipa kwa masaa ka ma saa kabisa ni kazi virtual assistance, customer care, ambazo labda mtu mmekubaliana afanye kazi kwa saa 5 kila siku.
 
Asante sana kwa ushauri mkuu. Sifikiri pesa tu mkuu sababu contents ninazo za kutosha na kuhusu traffics ndio swala la kwanza kupambana nalo site ikiwa hewani. Nitapambana hadi kieleweke.
 
Hivi huwa inachukua siku ngapi hadi kupata account ya Adsense mkuu?
 
Hivi mkuu account za kununua ubaya wake ni nini mbali na issue ya kufanya verification endapo utaambiwa uprove identity yako in one way or another?
 
Hivi huwa inachukua siku ngapi hadi kupata account ya Adsense mkuu?
Blog yako inatakiwa kuwa na umri kuanzia week 4 na kuendelea. Na ukishaapply unasubiria kama siku 14 waifanyie review blog yako. Kwahiyo kama iko fresh ndani ya hizo siku 14 za review unapewa.
 
Blog yako inatakiwa kuwa na umri kuanzia week na kuendelea. Na ukishaapply unasubiria kama siku 14 waifanyie review blog yako. Kwahiyo kama iko fresh ndani ya hizo siku 14 za review unapewa.
Oooh sawa sawa mkuu.
 
Tatizo unazungumzia blog chafu chafu ya kupata traffic kwa njia za kudanganya na za kihuni.

Mwenzako anafanya blogging safi mkuu, elewa hilo.
 
mshua unapiga kazi mbili?
ulinzi+blogging
 
duuh nimekumbuka niko chuo niliangaika sana kuanzisha blog nakumbukuka michuzi ilikuwa hot sana niliangaika sana kupata adsense za google nilipata kwa kuomba kupitia website ya kampuni ndio nkapata adsense acccount ila nilikuwa ibiwa na mkenya fulani nilipokuwa bize na shule ilikuwa na dola 8 ..kuna jamaa nilikuwa nao hosteli walikuwa bize muda wote kutafuta habari na kufanya false clicking kwenye blogs za wengine wakose adsense..
 
Samahani, je blog zenye maudhui ya kiswahili, nazo ad sense wanalipa?Au ni kwa lugha zilizochaguliwa tu.
 
Samahani, je blog zenye maudhui ya kiswahili, nazo ad sense wanalipa?Au ni kwa lugha zilizochaguliwa tu.
Hapana.

Kwa adsense, Kiswahili ni unsupported language
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…