Waliopata mikopo HESLB 2014/15

kwann apa chuon kwetu Tia ata Ifm na Mzumbe hakuna diploma aliepata mkopo na ktk emails zetu bado hawajatupa taarifa zozote kama wafanyavyo miaka yote, au taratibu ni kama za TCU kwamba fm6 kwanza, msaada

ndugu nadhan diploma wote tumekosa mkopo na majina washatoa heslb
 
Yaani hii nchi inashuka chini kila siku. kuanzia 2011-2013 tcu na olas ilikuwa pouwa sana. Siku hizi sasa huduma mbovu bovu
 
Guys kwenye hizo columns za loan division ya stationery , tuition fees , meals and accommodation sasa kuna column moja imeamdikwa (SFR) hiyo ina maana gani

special field requirements
 
Pia unaweza kuangalia jina lako Moja kwa bila usumbufu kupitia link hii ya bodi ya mkopo.

olas.heslb.go.tz/allocation/allocations
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…