kwann apa chuon kwetu Tia ata Ifm na Mzumbe hakuna diploma aliepata mkopo na ktk emails zetu bado hawajatupa taarifa zozote kama wafanyavyo miaka yote, au taratibu ni kama za TCU kwamba fm6 kwanza, msaada
Ndugu Vallentino ebu punguza jazba kidogo braza, eeh..!
Usije piga mtu bure.
kwann apa chuon kwetu Tia ata Ifm na Mzumbe hakuna diploma aliepata mkopo na ktk emails zetu bado hawajatupa taarifa zozote kama wafanyavyo miaka yote, au taratibu ni kama za TCU kwamba fm6 kwanza, msaada
na boom ndo inakuwa vipi? tuliokosa mikopo ndo hatupati na boom au ilo swala jingine?:embarrassed:
hahahaa, hapana mkuu ntakosea wananch heshima nkpga mtu
MUM wametoa majina
na ule mkwanja wa kujikimu?mkopo kwa jina lililozoeleka ni boom,hakuna tofaut apo mdau wetu wa JF
sindio maana kila chuo kina website yake info zote unazipata UMo.. ukijitetea ohh sijui hana simu/pc si cafe zipo buku tu... leta hoja nyingine.[/QUOT
Nadhan hujanielewa Mkuu, Mimi ninacholalamika ni kwamba , "kwanini wasiweke hizo list kwenye website zao za vyuo na badala yake eti wanabandika chuoni afu kwenye mtandao wao hawaweki kitu. Huoni kama ni usumbufu huo..?
Mfano, (Tetesi) Chuo cha IFM nao wametoa list ya waliobahatika kupata mkopo lakn nimesikia kutoka kwa baadhi ya raia kua majina hayo yatabandikwa chuoni pale. Cha ajabu hakuna chochote kwenye site yao. So what do you think about that now,.
labda kimantik iyo.. kwamimi naona vyote sawa tu... ndio maana kuna social nets kama izi
jamanery naombeni kujua eti mkopo wanatoa kwa awamu,,,
Mitindo inabadilika kulingana na mabadiliko ya isayans an teknoloj