Waliopata mikopo HESLB 2014/15

Waliopata mikopo HESLB 2014/15

kwann apa chuon kwetu Tia ata Ifm na Mzumbe hakuna diploma aliepata mkopo na ktk emails zetu bado hawajatupa taarifa zozote kama wafanyavyo miaka yote, au taratibu ni kama za TCU kwamba fm6 kwanza, msaada


Ndugu Vallentino ebu punguza jazba kidogo braza, eeh..!
Usije piga mtu bure.
 
na boom ndo inakuwa vipi? tuliokosa mikopo ndo hatupati na boom au ilo swala jingine?:embarrassed:
 
kwann apa chuon kwetu Tia ata Ifm na Mzumbe hakuna diploma aliepata mkopo na ktk emails zetu bado hawajatupa taarifa zozote kama wafanyavyo miaka yote, au taratibu ni kama za TCU kwamba fm6 kwanza, msaada

wanajidai eti diploma wamejisomesha miaka miwili,mitatu,minne haitawashinda,wanawapendelea form six wakati hakuna ajira,diploma utaifanyia kazi wapi? ajira zake ni chache,kujiajiri pesa ndio tulisomea tena kwa kuganga njaa huku watu wa degree wakila bata na fedha zetu(kodi!) sasa na sisi tunahitaji la sivyo viongozi wote wa juu wajiuzulu!
 
sindio maana kila chuo kina website yake info zote unazipata UMo.. ukijitetea ohh sijui hana simu/pc si cafe zipo buku tu... leta hoja nyingine.[/QUOT
Nadhan hujanielewa Mkuu, Mimi ninacholalamika ni kwamba , "kwanini wasiweke hizo list kwenye website zao za vyuo na badala yake eti wanabandika chuoni afu kwenye mtandao wao hawaweki kitu. Huoni kama ni usumbufu huo..?
Mfano, (Tetesi) Chuo cha IFM nao wametoa list ya waliobahatika kupata mkopo lakn nimesikia kutoka kwa baadhi ya raia kua majina hayo yatabandikwa chuoni pale. Cha ajabu hakuna chochote kwenye site yao. So what do you think about that now,.

labda kimantik iyo.. kwamimi naona vyote sawa tu... ndio maana kuna social nets kama izi
 
jamanery naombeni kujua eti mkopo wanatoa kwa awamu,,,

usikubali kulishwa upepo ndugu. Majina ya mkopo hayana awamu yaani yakitoka ndo hivyo yametoka labda baada ya ku-appeal na watu wenye special cases
 
Ila kulikuwa na uafadhari kidogo maana majina yalikuwa yanatoka kwa mkupuo siyo kama leo chuo fulani kingine .....?
 
Back
Top Bottom