nastic boy
Senior Member
- Oct 9, 2014
- 190
- 17
Habari,
Kutokana na bodi ya mikopo kutoa majina kama walivyofanya tume ya vyuo vikuu hivyo kulazimu wahusika kuyasaka. Nitayaweka hapa na kujitahidi kuyaongeza kadiri yanavyoongezeka.
SUA 2014
MUCE 2014
MZUMBE 2014
View attachment 191696
View attachment 191816
View attachment 191891
Jamani, mbona Mimi nikifungua majina ya waliopata mkopo MUCE hayafunguki katika SIMU Yang?naomba msaada nifanyeje
Guys kwenye hizo columns za loan division ya stationery , tuition fees , meals and accommodation sasa kuna column moja imeamdikwa (SFR) hiyo ina maana gani
IFM yapo chuo wamebandika ila wamepata watu wachache sana. Kuna kozi dogo kachaguliwa wako 486 lakini waliopewa mkopo ni watu 60jamn nkuhusu wa ifm vp? maan kun wengine wa mwk wa 2 waliomba tena upya,mweny ufafanuzi a2saidie