Waliopata mikopo HESLB 2014/15

Waliopata mikopo HESLB 2014/15

haya majina mbna yote ni km ya wnfnz wa fm 6 tu, sisi wa diploma vp?
 
Guys kwenye hizo columns za loan division ya stationery , tuition fees , meals and accommodation sasa kuna column moja imeamdikwa (SFR) hiyo ina maana gani
 
Guys kwenye hizo columns za loan division ya stationery , tuition fees , meals and accommodation sasa kuna column moja imeamdikwa (SFR) hiyo ina maana gani

Special faculty requirement
 
jamn nkuhusu wa ifm vp? maan kun wengine wa mwk wa 2 waliomba tena upya,mweny ufafanuzi a2saidie
IFM yapo chuo wamebandika ila wamepata watu wachache sana. Kuna kozi dogo kachaguliwa wako 486 lakini waliopewa mkopo ni watu 60
 
Back
Top Bottom