Waliopata mikopo HESLB 2014/15

mkuu mwenye majina ya waliopata mkopo IFM naomba ayaupload humu tafadhali?
 
Hivi makumira washatoa majina ya waliopata mkopo s1497/0012/2011
 
Naomba mniangalizie makumira jamani kama wameshatoa majina ya waliopata mkopo jina ni lusia edmund mares naamba yake ni hiyo hapo s1497/0012/2011 naomba sana
 




[TABLE="width: 288"]
[TR]
[TD]JINA LA CHUO[/TD]
[TD]IDADI YA WALIOPATA MKOPO[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]SUA[/TD]
[TD]2035[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]UDSM[/TD]
[TD]3028[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MUCE[/TD]
[TD]1192[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MZUMBE[/TD]
[TD]543[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MUM[/TD]
[TD]225[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]UOB[/TD]
[TD]293[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]SEKOMU[/TD]
[TD]233[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Kama taifa moja linalojali taaluma zote sidhani hapa kama kuna haki inayotendeka, vigezo vya utowaji mikopo viwekwe wazi isiwe siri ya wachache, Jamani mnawanyonga wadogo zetu katika stage mbaya sana.

kuna utaratibu gani unaotumika UDSM wapate 3028 halafu vyuo vingine wapate watoto 200. This is not fair.

Au kuna namna wakuu wa vyuo wanafanya ili kuhakikisha wanafunzi wao wanapewa priority kupata loan?
 

Idadi Ya Watu..Angalia wangapi wamekosa udsm sio unakurupuka tu.
 
Idadi Ya Watu..Angalia wangapi wamekosa udsm sio unakurupuka tu.

hiyo ndio takwimu inayofuata. tutajaribu kufanya comparison ya hivyo vyuo idadi ya waliochaguliwa na waliopata, especially on non priority course
 
naskia wale walioappeal hawawez pata mkopo sasa cjaelewa kuappeal nn?nifahamisheni kwanza
 
duuuuuh heb 2post v2 vya mcngi bhna pengne hyo idad ndgo ndyo juml ya wanafunz wote utajuaj? au unatak wapew na wakufunz
 
jaman tusilalamike sana, vijana mkiambiwa kuwa hili taifa halina haki mnatuona mapunguani... Ona sasa jiulize mbunge mmoja wa BMK alikuwa analipwa sh, ngapi kwa siku, alafu fanya kutafakari kidogo utapata majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…