Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu mwenye majina ya waliopata mkopo IFM naomba ayaupload humu tafadhali?
Ndugu Mnaoangalia Ya Udsm Niangalie Namimi Mnitumie Edwin Kalugendo S1580/0056/2008
Habari,
Kutokana na bodi ya mikopo kutoa majina kama walivyofanya tume ya vyuo vikuu hivyo kulazimu wahusika kuyasaka. Nitayaweka hapa na kujitahidi kuyaongeza kadiri yanavyoongezeka.
SUA 2014
MUCE 2014
MZUMBE 2014
View attachment 191696
View attachment 191816
View attachment 191891
UDSM 2014
[TABLE="width: 288"]
[TR]
[TD]JINA LA CHUO[/TD]
[TD]IDADI YA WALIOPATA MKOPO[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]SUA[/TD]
[TD]2035[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]UDSM[/TD]
[TD]3028[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MUCE[/TD]
[TD]1192[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MZUMBE[/TD]
[TD]543[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MUM[/TD]
[TD]225[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]UOB[/TD]
[TD]293[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]SEKOMU[/TD]
[TD]233[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kama taifa moja linalojali taaluma zote sidhani hapa kama kuna haki inayotendeka, vigezo vya utowaji mikopo viwekwe wazi isiwe siri ya wachache, Jamani mnawanyonga wadogo zetu katika stage mbaya sana.
kuna utaratibu gani unaotumika UDSM wapate 3028 halafu vyuo vingine wapate watoto 200. This is not fair.
Au kuna namna wakuu wa vyuo wanafanya ili kuhakikisha wanafunzi wao wanapewa priority kupata loan?
Kwanini watoe nusunusu watu wanapata presha
Idadi Ya Watu..Angalia wangapi wamekosa udsm sio unakurupuka tu.
St.joseph vipPliiiz mwenye kujua kama walochaguliwa chuo cha IAE majina ya mkopo yametoka anijuze.plis nisaideni mana wametoa selection tu
duuuuuh heb 2post v2 vya mcngi bhna pengne hyo idad ndgo ndyo juml ya wanafunz wote utajuaj? au unatak wapew na wakufunz
Habari,
Kutokana na bodi ya mikopo kutoa majina kama walivyofanya tume ya vyuo vikuu hivyo kulazimu wahusika kuyasaka. Nitayaweka hapa na kujitahidi kuyaongeza kadiri yanavyoongezeka.
SUA 2014
MUCE 2014
MZUMBE 2014
View attachment 191696
View attachment 191816
View attachment 191891
UDSM 2014