Waliopata mikopo HESLB 2014/15

kaka wametoa kweli m nimewapigia chuoni wakasema bado hawajapata majina.na kuhu usajiri kuna jamaa yangu yupo hapo mwaka wa pili amesema first year wameambiwa wasubilie kwanza mpaka majina ya mkopo yatoke

Dah nilikuwa nawazia sana registration ila kama ndo hivyo ngoja tuendelee kutafuta hizo pesa zao
 
kaka wametoa kweli m nimewapigia chuoni wakasema bado hawajapata majina.na kuhu usajiri kuna jamaa yangu yupo hapo mwaka wa pili amesema first year wameambiwa wasubilie kwanza mpaka majina ya mkopo yatoke

Kaka ni kweli kuna jamaa yangu kachaguliwa hapo anajiandaa jpili aende chuoni.
 
Habarini wanajamvi: hivi chuo kikuu cha sayansi na technolojia mbeya watatoa second batch? Hii ni kwa sababu kuna baadhi ya watu nikiwemo na mimi tumechaguliwa mbeya lakin selection zmetoka majina yetu hayapo. Plz kwa anaefahamu anijuze. Ahsanten sana wakuu
 
SAUT wametoa pia, majina yamebandikwa M10

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Inasikitisha sana kuona serikali ya TZ kushindwa kutoa mikopo kwa nusu nzima ya wanafunzi walioomba
 
Pls naomba nisaidi nashindwa kuipata hiyo link. Naona tangazo la jamii bt siwez kuipata. Kama vip nichekie pls P1072/0149/2010
 
jaman mwenye majina ya udom afanye kupost jaman plzzzzzzz watu pressure yapanda na kushuka........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…