Waliopata mikopo HESLB 2014/15

Waliopata mikopo HESLB 2014/15

jamn nkuhusu wa ifm vp? maan kun wengine wa mwk wa 2 waliomba tena upya,mweny ufafanuzi a2saidie
 
Hii system ya kila chuo kutoa list ya wanafunzi waliobahatika kupata mkopo wanapojisikia ndio hivi hivi ilikua na mwaka jana au mwaka huu tu?
Wakuu tupatieni ufumbuzi juu ya hili.
jayiI7 hii ni nchi ya ajabu kweli. Badala ya HESLEB kuweka majina ya waliopata mkopo katika tovuti yao kwanza, wao wanatoa majina kwa kila chuo. Ni aibu Sana.
 
Last edited by a moderator:
Jamani, mbona Mimi nikifungua majina ya waliopata mkopo MUCE hayafunguki katika SIMU Yang?naomba msaada nifanyeje
 
kwaiyo ndugu unataka kusema technolojia ya mwaka huu ndio hyo kila chuo kibandike chuoni kwake..? Ebu cheki mfano hui, kuna jamaa anaishi arusha-karatu kule afu chuo amepangiwa saut branch ya mbeya kule. Sasa imagine mtu huyu atajuaje kama jina lake lipo au halipo, na hana ndugu huko wala rafiki. Hii si shida jaman

ujinga tu wameufanya
 
wanajidai eti diploma wamejisomesha miaka miwili,mitatu,minne haitawashinda,wanawapendelea form six wakati hakuna ajira,diploma utaifanyia kazi wapi? ajira zake ni chache,kujiajiri pesa ndio tulisomea tena kwa kuganga njaa huku watu wa degree wakila bata na fedha zetu(kodi!) sasa na sisi tunahitaji la sivyo viongozi wote wa juu wajiuzulu!

saga chupa unywe umeshaambiwa kuwana subira
 
Jamani, mbona Mimi nikifungua majina ya waliopata mkopo MUCE hayafunguki katika SIMU Yang?naomba msaada nifanyeje

Mwanajopo lazima cm yako iwe inaweza kusoma pdf au uwe na adobe reader..... mm majina ya muce ninayo mkuu.... taja jina lako nkuchekie sasa hv
 
am about to lose my mind.naomba msaada kwa ss 2lie omba transfer mikopo watuma chuo gan coz transfer zenyewe hawaeleweki
 
Nimechoka na hii nchi ubabaishaji mwingi vijana tupo mitaani hatujui hatma yetu vyuo vishafunguliwa!!!
 
Back
Top Bottom