Waliopata mkopo UDSM 2014/2015

Guys kwenye hizo columns za loan division ya stationery , tuition fees , meals and accommodation sasa kuna column moja imeamdikwa (SFR) hiyo ina maana gani???
Special faculty requirement
 
Wakuu vipi kwa wale tuliopo mwaka wap pili na tukaomba mkopo majibu yetu vipi
 
Kitu kinachoboa loan board hawapo updated kabixa hawajui vyuo vishafunguliwa???
 
naskia walioappeal hawatopata mkopo ndo wanajaza hyo idad ya watu 28000 sasa celew walioappeal nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…