Waliopata mkopo UDSM 2014/2015

oi wadau mtu anaposema walioappeal hawatopata mkopo,na ndio wanajaza hyo idad ya wat 28000 unaweza kumuelewaje?yan walioappeal nn?au ndo 2nd round applicants nifahamishen basi coz navyoelewa mm appeal ni rufaa
 
na rufaa maana yake hujaridhishwa na maamuzi awali so unaomba kesi/jambo lako lisikilizwe tena...sasa hapo hujaelewa nin mkuu?
 
bt 2nd applicants sio rufaa coz ni directorates for those waliokosa due to competition me i think ni wale waliokosa miaka iliyopita wakaomba tena au napotea brother?
 
Guys kwenye hizo columns za loan division ya stationery , tuition fees , meals and accommodation sasa kuna column moja imeamdikwa (SFR) hiyo ina maana gani???

special faculty requirement
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…