mpenda pata potea
Member
- Sep 27, 2014
- 7
- 0
Naomba msaada,iv kama jina langu silioni kwenye list inamaana sijapata au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba msaada,iv kama jina langu silioni kwenye list inamaana sijapata au?
oi wadau mtu anaposema walioappeal hawatopata mkopo,na ndio wanajaza hyo idad ya wat 28000 unaweza kumuelewaje?yan walioappeal nn?au ndo 2nd round applicants nifahamishen basi coz navyoelewa mm appeal ni rufaa
Msaada tafadhali S0255.0051.2008 na je haya majibu ni kwa first year tu au hata continuing?Yah Ndo Ipo hvyooo..Angalia vzuri.
naomba kuangaliziwa maria edward mwampogolo s0262/0028/2011
Mkuu naomba msaada frank dismas mushi S1621.0020.2011
Msaada tafadhali S0255.0051.2008 na je haya majibu ni kwa first year tu au hata continuing?
Guys kwenye hizo columns za loan division ya stationery , tuition fees , meals and accommodation sasa kuna column moja imeamdikwa (SFR) hiyo ina maana gani???
Ndo kwa matumizi yapi sasa
nambie jina lako nikuchekia apa fasta
nambie jina lako nikuchekia apa fasta
haya majibu ni pamoja na continuing students au kwa wanaoanza first year?Majanga Vicky.. Nehi. .
juma alex (baed)