Waliopata mtuambie Maisha yanaendaje

Mimi nimempata humu ndani na penzi liko motomoto kweli na mtoto kajaaliwa roho swagi kabisa, wanaosema huwezi pata mke humu wajitafakari upya... Wapo wapenda fursa ila wapo wa ukweli nashukuru sana uwepo wa JF
 
Hongera sana mkuu, kila rakheri pia mufikie lengo lenu[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…