K king fighter Member Joined Feb 10, 2015 Posts 19 Reaction score 5 Mar 4, 2015 #1 Nataka kujua jamani kama wale waliosupua wanaweza ajiriwa bila kutuma barua TAMISEMI maana kunafununu wanasema bila kutuma maombi hawawezi ajiriwa kama miaka mingine mwenye ukweli kuhusu hili tafadhali
Nataka kujua jamani kama wale waliosupua wanaweza ajiriwa bila kutuma barua TAMISEMI maana kunafununu wanasema bila kutuma maombi hawawezi ajiriwa kama miaka mingine mwenye ukweli kuhusu hili tafadhali
kakakuonana JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 338 Reaction score 61 Mar 4, 2015 #2 kwa diploma sijui ila degree wanaajiriwa nadhani
Kv-london JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 2,877 Reaction score 5,022 Mar 4, 2015 #4 Lets wait and see
Lusungo JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 28,259 Reaction score 41,416 Mar 4, 2015 #5 Hata ukituma barua hautaajiriwa hii ni kanuni ya utumishi....
chichimizi JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 1,074 Reaction score 339 Mar 4, 2015 #6 Hata ukituma barua mia mbili huajiriwi kama ulishikwa utaendeleaa kukaa bench. Nimenukuu maneno ya DR shukuru kawambwa juzi alivyokuaa anahojiwa ktk kipindi cha Temino j mosi mbili zilizopita. Overrr
Hata ukituma barua mia mbili huajiriwi kama ulishikwa utaendeleaa kukaa bench. Nimenukuu maneno ya DR shukuru kawambwa juzi alivyokuaa anahojiwa ktk kipindi cha Temino j mosi mbili zilizopita. Overrr
IHANDA Member Joined Jun 28, 2012 Posts 62 Reaction score 15 Mar 4, 2015 #7 chichimizi said: Hata ukituma barua mia mbili huajiriwi kama ulishikwa utaendeleaa kukaa bench. Nimenukuu maneno ya DR shukuru kawambwa juzi alivyokuaa anahojiwa ktk kipindi cha Temino j mosi mbili zilizopita. Overrr Click to expand... kwani mh. Kawambwa alisemaje kwa waliopata supplementary?
chichimizi said: Hata ukituma barua mia mbili huajiriwi kama ulishikwa utaendeleaa kukaa bench. Nimenukuu maneno ya DR shukuru kawambwa juzi alivyokuaa anahojiwa ktk kipindi cha Temino j mosi mbili zilizopita. Overrr Click to expand... kwani mh. Kawambwa alisemaje kwa waliopata supplementary?
chichimizi JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 1,074 Reaction score 339 Mar 4, 2015 #8 Au yatafute yale mahojiano kwenye tovuti ya clouds radio
M Mbuzi Mzee JF-Expert Member Joined Feb 5, 2015 Posts 348 Reaction score 82 Mar 5, 2015 #9 Watapata woteeee kama zamani....kama ni ivo mbona waliwachagua kwenda JKT?
O oswinwilliam Senior Member Joined Jan 6, 2015 Posts 112 Reaction score 12 Mar 6, 2015 #10 mbona form six wanaenda JKT matokeo yakitoka wamefeli awaendi chuo nijuavyo hakuna uhusiano wowote kati ya JKT na ajira
mbona form six wanaenda JKT matokeo yakitoka wamefeli awaendi chuo nijuavyo hakuna uhusiano wowote kati ya JKT na ajira