king fighter
Member
- Feb 10, 2015
- 19
- 5
Nataka kujua jamani kama wale waliosupua wanaweza ajiriwa bila kutuma barua TAMISEMI maana kunafununu wanasema bila kutuma maombi hawawezi ajiriwa kama miaka mingine mwenye ukweli kuhusu hili tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ukituma barua mia mbili huajiriwi kama ulishikwa utaendeleaa kukaa bench.
Nimenukuu maneno ya DR shukuru kawambwa juzi alivyokuaa anahojiwa ktk kipindi cha Temino j mosi mbili zilizopita.
Overrr