ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Ole sendeka kauli yake dhidi ya Lisu imemponza,CCM hawataki watu wenye roho ya kweli na huruma Kwa wapinzaniHawa wamepenya kamati za wilaya
1. Nape Nnauye jimbo la Mtama
2. Peter Serukamba kule Kigoma Vijijini
3. Baba Levo kule Kigoma Mjini
4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini
5. Paul Makonda Arusha Mjini
6. Ole Sabaya kapenya kule Arumeru Magharibi
7. Joshua Nasari Jimbo la Arumeru Mashariki
8. Aggrey Mwanri kule Siha
9. Eng Hersi Said jimbo la Kigamboni
Mpaka sasa majina yaliyokatwa na kamati za wilaya
1. Mrisho Gambo Jimbo la Arusha Mjini
2. Paulina Gekul kule Bahati Mjini
3. January Makamba jimbo la Bumbuli
4. Jerry Muro Jimbo la Hai
5. Peter Msigwa Jimbo la Iringa Mjini
6. Luhanga Mpina kule Kisesa
7. Mwita Waitara pale Tarime Vijijini
8. Mwijaku Jimbo la Mvomero
9. Furaha Dominic kule Kawe
10. Ole Sendeka kule Simanjiro
Tunafuatilia na majimbo mengine
ya kunavyeo vingi kama ujuuu wa wilaya au mkoaMsigwa amepata haki yake. Labda asubiri ukuu wa wilaya.
Walio liwa wito ni stahiki yao japo kuna vichwa vimepitishwa bado nimajipuHawa wamepenya kamati za wilaya
1. Nape Nnauye jimbo la Mtama
2. Peter Serukamba kule Kigoma Vijijini
3. Baba Levo kule Kigoma Mjini
4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini
5. Paul Makonda Arusha Mjini
6. Ole Sabaya kapenya kule Arumeru Magharibi
7. Joshua Nasari Jimbo la Arumeru Mashariki
8. Aggrey Mwanri kule Siha
9. Eng Hersi Said jimbo la Kigamboni
Mpaka sasa majina yaliyokatwa na kamati za wilaya
1. Mrisho Gambo Jimbo la Arusha Mjini
2. Paulina Gekul kule Bahati Mjini
3. January Makamba jimbo la Bumbuli
4. Jerry Muro Jimbo la Hai
5. Peter Msigwa Jimbo la Iringa Mjini
6. Luhanga Mpina kule Kisesa
7. Mwita Waitara pale Tarime Vijijini
8. Mwijaku Jimbo la Mvomero
9. Furaha Dominic kule Kawe
10. Ole Sendeka kule Simanjiro
Tunafuatilia na majimbo mengine
Huyo namba 4 kwa waliokatwa ni mjinga anayetembeaHawa wamepenya kamati za wilaya
1. Nape Nnauye jimbo la Mtama
2. Peter Serukamba kule Kigoma Vijijini
3. Baba Levo kule Kigoma Mjini
4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini
5. Paul Makonda Arusha Mjini
6. Ole Sabaya kapenya kule Arumeru Magharibi
7. Joshua Nasari Jimbo la Arumeru Mashariki
8. Aggrey Mwanri kule Siha
9. Eng Hersi Said jimbo la Kigamboni
Mpaka sasa majina yaliyokatwa na kamati za wilaya
1. Mrisho Gambo Jimbo la Arusha Mjini
2. Paulina Gekul kule Bahati Mjini
3. January Makamba jimbo la Bumbuli
4. Jerry Muro Jimbo la Hai
5. Peter Msigwa Jimbo la Iringa Mjini
6. Luhanga Mpina kule Kisesa
7. Mwita Waitara pale Tarime Vijijini
8. Mwijaku Jimbo la Mvomero
9. Furaha Dominic kule Kawe
10. Ole Sendeka kule Simanjiro
Tunafuatilia na majimbo mengine
Roho ya kweli kwa mleta ushoga,na haini, CCM imeijenga nchi hii kwa miongo kadhaa kwa damu na jasho wakati watu wanatembea kwa miguu kupigania uhuru,kukengannchi na kiweka misingi Bora chini ya CCMLeo atokee mpumbavu atetereshe amani achekeqeOle sendeka kauli yake dhidi ya Lisu imemponza,CCM hawataki watu wenye roho ya kweli na huruma Kwa wapinzani
U tendaji kata unamtoshaMsigwa amepata haki yake. Labda asubiri ukuu wa wilaya.
Vyeo vya ukuu wa wilaya vilishajazwaMsigwa amepata haki yake. Labda asubiri ukuu wa wilaya.
Alishawahi kuwa mbunge kwani?Natamani sana aggrey mwanry arudi bungeni.
kufanya U comed? kule siha alisha kuwa Mbunge miaka 10 na mbona hakuna cha maana pale? itawachukua miaka 500 mje kujua kwamba wabunge hawa wanasaka ajira na si vinginevyo.Natamani sana aggrey mwanry arudi bungeni.
Sasa ndio nchi itachangamka sana