Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
He wont be, prime ni mwingineMakonda for new Prime minister of URT (It's only my dream don't stone me)
He wont be, prime ni mwingineMakonda for new Prime minister of URT (It's only my dream don't stone me)
AlichukuaKwani alichukua fomu?
Acha kuiombea nchi mabalaa.Makonda for new Prime minister of URT (It's only my dream don't stone me)
Jerry kaliwa Kichwa ? Licha ya kumchomea GwajimaHawa wamepenya kamati za wilaya
1. Nape Nnauye jimbo la Mtama
2. Peter Serukamba kule Kigoma Vijijini
3. Baba Levo kule Kigoma Mjini
4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini
5. Paul Makonda Arusha Mjini
6. Ole Sabaya kapenya kule Arumeru Magharibi
7. Joshua Nasari Jimbo la Arumeru Mashariki
8. Aggrey Mwanri kule Siha
9. Eng Hersi Said jimbo la Kigamboni
Mpaka sasa majina yaliyokatwa na kamati za wilaya
1. Mrisho Gambo Jimbo la Arusha Mjini
2. Paulina Gekul kule Bahati Mjini
3. January Makamba jimbo la Bumbuli
4. Jerry Muro Jimbo la Hai
5. Peter Msigwa Jimbo la Iringa Mjini
6. Luhanga Mpina kule Kisesa
7. Mwita Waitara pale Tarime Vijijini
8. Mwijaku Jimbo la Mvomero
9. Furaha Dominic kule Kawe
10. Ole Sendeka kule Simanjiro
Tunafuatilia na majimbo mengine
Alishawahi kuwa mbunge kwani?
nami nimeona taarifa. lakini nasikia maagizo ya samia na KM ni kuwa incumbents wote waingie 3 bora. Ni kweli? wewe s ni senior CCM, unauliza badala ya kutupa habari sahihiNi Tetesi tu kwamba January Makamba chalii
Bado tunafuatilia
🇹🇿
Ndo maana sera zenu hata vitongoji na Mitaa hazikufua dafuBaba yako keshatolewa malinda na huo ushoga ulioletwa na Lisu? Basi hongera zake Lisu maana watu kama nyie dawa yenu kifilo tu
punguza ujingaRoho ya kweli kwa mleta ushoga,na haini, CCM imeijenga nchi hii kwa miongo kadhaa kwa damu na jasho wakati watu wanatembea kwa miguu kupigania uhuru,kukengannchi na kiweka misingi Bora chini ya CCMLeo atokee mpumbavu atetereshe amani achekeqe
we,aliyecheka na aliyechekewa wote fyekelea mbali,Mungu mkubwa Mwanri huyo bungeni AI,encyclopedia,ChartGpd
Ndio silaha yangupunguza ujinga
February wamemla kichwa?