Tetesi: GE2025 Waliopenya kamati za CCM wilaya na walioliwa vichwa

Tetesi: GE2025 Waliopenya kamati za CCM wilaya na walioliwa vichwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hawa wamepenya kamati za wilaya
1. Nape Nnauye jimbo la Mtama
2. Peter Serukamba kule Kigoma Vijijini
3. Baba Levo kule Kigoma Mjini
4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini
5. Paul Makonda Arusha Mjini
6. Ole Sabaya kapenya kule Arumeru Magharibi
7. Joshua Nasari Jimbo la Arumeru Mashariki
8. Aggrey Mwanri kule Siha
9. Eng Hersi Said jimbo la Kigamboni


Mpaka sasa majina yaliyokatwa na kamati za wilaya
1. Mrisho Gambo Jimbo la Arusha Mjini
2. Paulina Gekul kule Bahati Mjini
3. January Makamba jimbo la Bumbuli
4. Jerry Muro Jimbo la Hai
5. Peter Msigwa Jimbo la Iringa Mjini
6. Luhanga Mpina kule Kisesa
7. Mwita Waitara pale Tarime Vijijini
8. Mwijaku Jimbo la Mvomero
9. Furaha Dominic kule Kawe
10. Ole Sendeka kule Simanjiro

Tunafuatilia na majimbo mengine
Naam. Oktoba tunatiki
 
nami nimeona taarifa. lakini nasikia maagizo ya samia na KM ni kuwa incumbents wote waingie 3 bora. Ni kweli? wewe s ni senior CCM, unauliza badala ya kutupa habari sahihi
Nadhani chama kimeamua kukomesha tabia ya Kusengenya Viongozi Wakuu
 
Back
Top Bottom