Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Huyu jamaa apumzishwe tu ili Tundu Lissu achukue nchi
Baada tuu ya kutwangwa na Lissu katika introduction ya kutaka kugombea tayari mumeanza kutafutana uchawi?Hili ni angalizo tu kwa wanaopewa dhamana ya kuwa mawaziri au manaibu uwaziri kuwa mnapoaminiwa na Mheshimiwa Rais kupewa nafasi ya kuhudumia wananchi kamwe msiweke maslahi yenu mbele bali muweke maslahi ya Taifa Mbele...na kamwe matendo yenu yasitake kuharibu Image ya mheshimiwa Rais.
Wapo baadhi yenu mliopewa chance ya kurekebisha mambo kwa nia njema ila msitumie madaraka yenu hovyo mtaanguka na mtamuangusha Mheshimiwa Rais.
work hard and solve genuine issues za wananchi.
Tunawajua na tunaweza kujua mission zenu nyakati zote msifanye hivyo but fanyeni mazuri kama mlivyoelekezwa na lengo lenu siku zote libakie kumnyanyua mwananchi wa chini katika ukweli tu.
Hata kama mlipotoka hapo awali na labda mlikuwa hamuamini kuwa Jembe JPM atakuwa Rais basi sasa muamini kuwa JPM is the President of URT na hakuwa hivyo kwa bahati mbaya au kwa juhudi zenu bali kwa utendaji wake ambao leo hii tumeushuhudia na kila mtanzania anaushuhudia.
JPM alipambaniwa na wachache na wachache hao wataendelea kumpambania usiku na mchana na ATASHINDA TENA...kwa kishindo.
Kamwe msimpotoshe au kupotosha umma kwa maslahi yenu binafsi.
msimzunguke na wala msijizungushe kwa maslahi yenu.
Maslahi yatakayosimama ni maslahi ya umma na wanyonge tu.
Nilikuwa naitafuta sana hii tweet. Shukran
Genuine issue ndio kutomtangaza mgombea asiye wa CCM?ukipewa gari zuri ina maana ukashughulikie genuine issues za wananchi sio kuleta mbwembwe
Pamoja kamandaNilikuwa naitafuta sana hii tweet. Shukran
Hakuna Mwandishi mwenye bei ndogo Tanzania kama Millard Ayo. Nashukuru kwa kuliweka wazi hilo. Wachumia tumbo wengi wanamtumia wakidhani anawapaisha kumbe wenye akili wanawachora tu. Anatumiwa na Ma Dc watia nia, Ma RC watia nia, Mawazir na Manaibu makanjanja, Ma DED wenye makandokando nk.halafu wapuuzi hawa wanamtumia millard Ayo sijui Globa Tv ,tweeter n.k ...hebu acheni upuuzi
Hawa ndio wale waandishi kanjanja wanaofika beiHakuna Mwandishi mwenye bei ndogo Tanzania kama Millard Ayo. Nashukuru kwa kuliweka wazi hilo. Wachumia tumbo wengi wanamtumia wakidhani anawapaisha kumbe wenye akili wanawachora tu. Anatumiwa na Ma Dc watia nia, Ma RC watia nia, Mawazir na Manaibu makanjanja, Ma DED wenye makandokando nk.
Na wote uliowataja wametoka Chadema hahahaha pambaneni na hali zenuhii ni kwa wenye usikivu
Mkuu kuna viwanda hadi vya barakoa vimeanzishwa
Subiri wakati wa kampeni maana unajitoaga ufahamu nikikutag kwenye kiwanda kipya kinachianzishwa
Nikiweka list huwa huchangii
Tusikimbiane tu kwenye uzi wa viwanda
Maana yake kama huyu anapewa hivyo atafanya kazi kwa bidii na kwa weledi hakutakuwa na mpinzani Yeyote atashinda kwa maana matatizo ya wananchi ameyatatua na maendeleo yanaonekana.