Waliopewa vyeo vya Uwaziri na Unaibu Waziri wasiharibu taswira ya Rais Magufuli kwa maslahi yao!

Waliopewa vyeo vya Uwaziri na Unaibu Waziri wasiharibu taswira ya Rais Magufuli kwa maslahi yao!

Weka list ya viwanda 100@mkoa. Miaka mitano imeisha ili tuone Tanzania ya viwanda.
Subiri wakati wa kampeni maana unajitoaga ufahamu nikikutag kwenye kiwanda kipya kinachianzishwa
 
Hili ni angalizo tu kwa wanaopewa dhamana ya kuwa mawaziri au manaibu uwaziri kuwa mnapoaminiwa na Mheshimiwa Rais kupewa nafasi ya kuhudumia wananchi kamwe msiweke maslahi yenu mbele bali muweke maslahi ya Taifa Mbele...na kamwe matendo yenu yasitake kuharibu Image ya mheshimiwa Rais.

Wapo baadhi yenu mliopewa chance ya kurekebisha mambo kwa nia njema ila msitumie madaraka yenu hovyo mtaanguka na mtamuangusha Mheshimiwa Rais.

work hard and solve genuine issues za wananchi.

Tunawajua na tunaweza kujua mission zenu nyakati zote msifanye hivyo but fanyeni mazuri kama mlivyoelekezwa na lengo lenu siku zote libakie kumnyanyua mwananchi wa chini katika ukweli tu.

Hata kama mlipotoka hapo awali na labda mlikuwa hamuamini kuwa Jembe JPM atakuwa Rais basi sasa muamini kuwa JPM is the President of URT na hakuwa hivyo kwa bahati mbaya au kwa juhudi zenu bali kwa utendaji wake ambao leo hii tumeushuhudia na kila mtanzania anaushuhudia.

JPM alipambaniwa na wachache na wachache hao wataendelea kumpambania usiku na mchana na ATASHINDA TENA...kwa kishindo.

Kamwe msimpotoshe au kupotosha umma kwa maslahi yenu binafsi.

msimzunguke na wala msijizungushe kwa maslahi yenu.

Maslahi yatakayosimama ni maslahi ya umma na wanyonge tu.
Baada tuu ya kutwangwa na Lissu katika introduction ya kutaka kugombea tayari mumeanza kutafutana uchawi?
Kampeni zitakapo anza sii itakuwa balaa kabisa? Safari hii haitakuwa pushups tena mtaruka samasoti na taulo bila kujua.
 
halafu wapuuzi hawa wanamtumia millard Ayo sijui Globa Tv ,tweeter n.k ...hebu acheni upuuzi
Hakuna Mwandishi mwenye bei ndogo Tanzania kama Millard Ayo. Nashukuru kwa kuliweka wazi hilo. Wachumia tumbo wengi wanamtumia wakidhani anawapaisha kumbe wenye akili wanawachora tu. Anatumiwa na Ma Dc watia nia, Ma RC watia nia, Mawazir na Manaibu makanjanja, Ma DED wenye makandokando nk.
 
Hawa ndio wale waandishi kanjanja wanaofika bei
 
Subiri wakati wa kampeni maana unajitoaga ufahamu nikikutag kwenye kiwanda kipya kinachianzishwa

Viwanda vipya vilikuwa vikianzishwa toka wakati wa mkoloni. Naongelea hii Tanzania ya viwanda. Narudia tena weka list ya viwanda 100@mkoa, mbona naeleweka tu boss.
 
Viwanda vipya vilikuwa vikianzishwa toka wakati wa mkoloni. Naongelea hii Tanzania ya viwanda. Narudia tena weka list ya viwanda 100@mkoa, mbona naeleweka tu boss.
Tusikimbiane tu kwenye uzi wa viwanda
 
Nikiweka list huwa huchangii

Thubutu, jiulize hilo jambo tulianza kulijadili 2016 na wala sijawahi kuyumba, huwezi kujiuliza kwamba ninajua ninachokihoji? Mkuu mimi nimeshatoka kwenye kundi la watanzania wenye uwezo wa kuongopewa, ninajua ninachohoji wala sibahatishi. Ili kuniumbua, weka hiyo list ya viwanda 100@mkoa ili niache kuchangia.
 
Tusikimbiane tu kwenye uzi wa viwanda

Weka list ili nikimbie, mimi sio wa kuongopewa, mtaji wenu mkubwa ni watu wenye uelewa finyu, ndio maana hapa nimekushikia chini unaishia kuleta porojo tu.
 
Back
Top Bottom