Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Polepole alileta hoja ya wagonjwa kujiandikisha wapate dawa kutoka CUBA akishirikiana na Hospital ya Kairuki
Tukaandika hapa kwamba mpango wake umepigwa vita na wanasiasa wenzake na kwamba hatofanikiwa.
Wale wanasiasa kwa sababu wana ndugu zao wagonjwa na kwa kuzingatia wanaweza kutumia kodi za wananchi kwenda CUBa, wao wameenda kupata huduma huku walala hoi wakisubiri protocol.
Pole pole ameamua kupokea simu kimya kimya kuwakwepa wahuni........kwa roho hizi mbaya tutafanikiwa? Au tutaishia kupigwa na magonjwa nyemelezi yasiyo na tiba kabla ya kufika 60 yrs?