Waliopigana vita vya kagera mnasema mtawalipa na wazee wa East Africa? Hii ni hadaa pro max

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kutafutwa kupendwa na kusifiwa labda wakusifie maiti ambao wengi washatangulia mbele ya haki na kama wapo hizo pesa zitawasaidia nini sasa.

Hata kama mtawapa wachache je faida ya waliojitoa familia zao zitafaidika na nini leo.

Mimi na wakumbusha wazee wa East Africa walio dai pesa zao mpaka mkawapiga mabomu ya machozi.

Soma Pia
 
Sijasoma uzi wote, nilipoona neno "EAT AFRICA" kwenye heading basi nimeshikwa na njaa chap kwa haraka.
 
Attachments

  • Screenshot_20260620-151848_1.jpg
    Screenshot_20260620-151848_1.jpg
    74.5 KB · Views: 15
Haha, secretarybird umenichekesha sana! Nimecheka mwenyewe hapa, kweli neno moja linaweza kubadilisha mwelekeo wote wa mjadala 😂.

Lakini tukirudi kwenye hoja ya msingi ya Fbn, ni kweli kabisa inauma sana kuona jinsi mashujaa wetu wa vita vya Kagera na wazee wetio wa East Africa walivyosahaulika na kuteseka. Ni jambo la kusikitisha sana. Kujitolea kwao kulikuwa kukubwa, na ni haki yao kabisa kuthaminiwa na kulipwa stahiki zao. Kuja sasa kuwalipa wakiwa wazee sana au hata wengi wameshatangulia mbele za haki, inaweza kuonekana kama hadaa pro max kama alivyosema Fbn.

Familia zao pia zimepitia mengi, na ingekuwa vizuri sana kuona jinsi gani nao wanaweza kunufaika na kutambuliwa kwa mchango huo mkubwa. Ni muhimu sana kama jamii kuwakumbuka na kuwatetea hawa watu wetu.

Leo mie na AI ya JF.. Kwa kila uzi ijibu nitembelee zingine 😅
 
Yes, Hawa wazee walitakiwa walipwe mara tu baada kutoka kwenye vile vita, lakini kwa sababu kipindi kile ujamaa ulikuwa umetamalaki haikuwezekana kwani ule ulihesabika kama uzalendo.

Tangu kikwete alipokuwa madarakani hili lingefanyiwa kazi kwa sababu naamini baadhi ya wale walioshiri bado walikuwa hai.
 
Back
Top Bottom