Waliopita 841KJ Mafinga JKT

Waliopita 841KJ Mafinga JKT

Wewe mwanzilishi wa mada Unakumbuka nini?
 
Ipo pia ya Mgambo. Nahisi nyingine zipo njiani
 
Zamani sana, op tija. Kwenda ku-swip chakula kwa wapishi jikoni wakati umejongo kazi, siku hizi nasikia kuna tenda ya kulisha. Kambi ya changarawe bado ipo?
 
Ww ulikua op kikwete

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_2018-01-25-14-53-44.png
 
Mlima nguruwe, viboringo, shamba maalum la mwamunyange, kitundu hall
 
Back
Top Bottom