daaah mkuu mm nimepita pale ila ni op kikwete juzi juzi
kuna afande mmoja anaitwa mafleta ni nouma yuko na bonge la kitambi alafu ndo afande wa messi
akisimama tumbo lile kule yye yuko nyuma utasikia Makamanda yale apo kuruti ni kuwahi mikate na mayai tu