Waliopitia mafunzo ya JKT wanahitajika

Waliopitia mafunzo ya JKT wanahitajika

Kilimo kina hitaji nidhamu, ujuzi na uvumilivu ivyo ingekuwa vyema kama ungepata Shamba boy kutoka Mang'ola, chekeleni, Dumila na Nk maana hao wanaweza kukaa shambani ata miezi sita ajaenda mjini lkn hawa wengine ukitoka tuu nae anaenda center kuangalia mpira au kufanya anasa au tafuta Mzee wa miaka 50+ na kuendelea maana huyu ana future tena jua limezama ivyo atafanya kazi yako kwa umakini sana kama utamthamini lkn kwa vijana inabidi uwe makini maana malengo kama yote ivyo muda wowote anaweza kuondoka
Hewaaala, nami ndio napita na mawazo kama haya, nilishawahi kuwa na vijana wachapakazi kabisa ila kama ulivyosema the moment you are away kufanya kazi zako zingine, nao off they go to centre .., ukiwepo machines are working properly, ukirudi mjini siku mbili ya tatu simu inaita pump imefanya hivi, hiki kimefanya vile.. thanks for your input.
 
Kwani kimola kasema analipa? Au mm ndo sijamuelewa
Nashukuru wapo mnao nielewa, sijatangaza malipo bado, nimetafakuri na kushirikisha fursa iliyopo na namna inaweza tumika kutuzalishia ajira na kipato.
 
Natamani kupata kijana mmoja nikomae naye kihome home (kulima mbogamboga na kufuga ng'ombe wa maziwa)
 
Habari wanajukwaa, katika kufikiria mbinu na namna ya kuboresha na kufanya ujasiriamali kupitia kilimo na ufugaji nimewaza na kupanga kupata vijana waliopitia mafunzo ya JKT (either kwa mujibu wa au wazalendo), walio na utayari, kwa kuanzia shamba dogo (heka 4 ) lililopo wilaya ya Mvomero, maeneo ya Dakawa, ambapo tutafanya shughuli in practical na tuta-share faida na hasara.

Vijana wawili kwa kuanzia wenye Ari na ujuzi (kiasi) wa ufugaji na kilimo cha mbogamboga, wasio waoga wa mazingira, wawe na umri usiopungua miaka 22, lengo ni kuwa kadiri tutakavyokuwa nao waweze kujitegemea. Jinsia ya kike watapewa kipaumbele
Mawasiliano +255 783030101.
Hapo kwa wanawake, tafakari mara mbilimbili. Kilimo cha bustani si lelemama, nimejaribu nyanya
 
Back
Top Bottom