Waliopitia mafunzo ya JKT wanahitajika

Hewaaala, nami ndio napita na mawazo kama haya, nilishawahi kuwa na vijana wachapakazi kabisa ila kama ulivyosema the moment you are away kufanya kazi zako zingine, nao off they go to centre .., ukiwepo machines are working properly, ukirudi mjini siku mbili ya tatu simu inaita pump imefanya hivi, hiki kimefanya vile.. thanks for your input.
 
Kwani kimola kasema analipa? Au mm ndo sijamuelewa
Nashukuru wapo mnao nielewa, sijatangaza malipo bado, nimetafakuri na kushirikisha fursa iliyopo na namna inaweza tumika kutuzalishia ajira na kipato.
 
Natamani kupata kijana mmoja nikomae naye kihome home (kulima mbogamboga na kufuga ng'ombe wa maziwa)
 
Hapo kwa wanawake, tafakari mara mbilimbili. Kilimo cha bustani si lelemama, nimejaribu nyanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…