Wee jamaa vipi, unaongelea hizo experimental vaccines ambazo zimetolewa kwa matumizi ya dharura, unazo conclusive data zinazoeleza efficacy na safety ya hizo chanjo unazosema zimeithinishwa na WHO.....au unapelekwa na hila na ghiliba za mabeberu.....Ingia website ya WHO kaangalie kila chanjo na dawa iliyosajili na hatua iliyofikia kwenye utafiti... hapo inaongelewa status au stages ya utafiti...