Wee jamaa vipi, unaongelea hizo experimental vaccines ambazo zimetolewa kwa matumizi ya dharura, unazo conclusive data zinazoeleza efficacy na safety ya hizo chanjo unazosema zimeithinishwa na WHO.....au unapelekwa na hila na ghiliba za mabeberu.....