Waliosaidia Assad apinduliwe ni Russia ama Marekani?

Waliosaidia Assad apinduliwe ni Russia ama Marekani?

Kaondewa na Israel, baada ya kuwazimisha Hizbullah ambao walikuwa kikwazo. Uturuki na Marekani walikuwa kutoka back up.
 
..............Na amekimbia kifo na hata zile za akhera atazikosa...🤣🤣🤣
blind-toothless-drunk-russian.jpg

Naona ameshakaribishwa Mzinga wa Vodka huko 😆😆😆😁
 
Kuna watu huwa wanawaona waarabu kama hawana akili za kujitegemea.

Sasa Bashir Assad kaondolewa madarakani. Jee kaondolewa na Wasiria peke yao ama hao Wasiria wamesaidiwa na Marekani au Russia?

Kama Russia kwa maslahi gani na kama pia na Marekani, pia ni Kwa maslahi gani?
Mahesabu yake yameanza siku nyingi. Ujasusi umefanya kazi polepole, na baada ya Russia kuvamia Ukraine ndiyo wakaona wamalizie. USA ni namba nyingine.
 
Back
Top Bottom