Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Na: Malisa GJHawa hapa
View attachment 3455084View attachment 3455087
Kingine unachopaswa kukumbuka ni hiki, Dkt Wilson Mahera aliyekuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi 2020 ni Mgombea Ubunge Jimbo la Butiama kwa tiketi ya CCM
===========
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo Bw.Luhaga Mpiga, akiambatana na baadhi ya Viongozi wa chama hicho walipofika Ofisi ya Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC, kurejesha fomu ya uteuzi wamezuiwa na kushindwa kungia kweye geti la ofisi za INEC, ambapo baada ya mazungumzo na Maafisa wa usalama waliokuwa getini hayakuzaa matunda hivyo kuondoka katika eneo hilo.
Mbona bado hakujapambazukaHawa hapa

Ngoja tuendelee kuona miujizaMbona bado hakujapambazuka
HakikaLissu aliona mbali sana
Swali lako Majibu yake anayo ZittoKwani hata hili la mgombea urais wa ACT kukatwa na tume lilikuwemo kwemye kanuni za maadili?
Unamlisha nani wewe ?!Kizazi hiki tungejikita kutafuta hela kwanza kuimarisha uchumi wa mmoja mmoja siasa zikifanywana watu wanaojiweza kiuchumi na wanaoelewa maana na faida za uzalshaji mali huwaga zina tija kidogo.