Siyo Wachache, hautakuwa na Wapiga kura kabisaNauona uchaguzi huu wa 2025 ndo utakaokuwa na wapiga kura wachache sana. Umekinahiwa hata kabla ya kuanza.
Watu wanaandamana kwenye mioyo,Oct watu watajikalia majumbani tu mtu mwenye akili timamu na uelewa hawezi kwenda kukaa foleni na kupiga kura kwenye maaigizo hayoVijana wa Chadema kwanini munateseka na ACT? he twmabieni NRNE imeshia wapi? maandamano yataanza lini?
Watachakachua watajiongezea wenyewe wapiga kuraSiyo Wachache, hautakuwa na Wapiga kura kabisa
Hapa namuwazia Yeriko Nyerere na tundevu twake utadhania uchafu wa sumaku.Na: Malisa GJ
Ndugu zangu waandishi, hivi mmesahau taaluma? Mbona hamuulizi “inquisitive questions” kuhusu suala la Mpina kuliwa kichwa? Ngoja niwasaidie notes kidogo. Iko hivi, Mpina ameenguliwa kwa mujibu wa kifungu cha 20(6) na (7) cha Kanuni za Maadili za mwaka 2025. Kanuni hizi zilitangazwa kupitia Tangazo la Serikali Na.86 la tarehe 14/2/2025.
Tume iliita vyama vya siasa kusaini kanuni hizo. Chadema tulikataa kusaini kwa sababu zilikuwa na mapungufu mengi. Na tukashauri vyama vingine vigome kusaini pia, mpaka pale kanuni hizo zitakapofanyiwa marekebisho kwanza (Na hiyo ndio maana ya No Reforms No Election). Lakini wazee wa “project” wakaenda kusaini kwa mbwembwe. Kusaini means walikubaliana na yote yaliyopo.
Sasa kanuni zilezile walizosaini ndiyo zimetumika kuwala vichwa. Sasa waandishi, kwa nini hamuulizi hili swali? Muulizeni Ado analia nini wakati alisaini kanuni mwenyewe? Chadema tuliposema kanuni zina mapungufu walitutukana na kusema tumekimbia uchaguzi. Leo yamewakuta, wanarudi kwa wananchi kulia. Ndiyo maana Boniyai amesema hawa watu wanapenda michezo ya . Bata, Wahed.!
Waigizaji hao.Walisema watalinda kura, ila hawawezi kukomaa hado fomu yao ipokelewe!
We ni taahira unajulikanaHawa hapa
View attachment 3455084View attachment 3455087
Kingine unachopaswa kukumbuka ni hiki, Dkt Wilson Mahera aliyekuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi 2020 ni Mgombea Ubunge Jimbo la Butiama kwa tiketi ya CCM
===========
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama cha ACT-Wazalendo Bw.Luhaga Mpiga, akiambatana na baadhi ya Viongozi wa chama hicho walipofika Ofisi ya Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi INEC, kurejesha fomu ya uteuzi wamezuiwa na kushindwa kungia kweye geti la ofisi za INEC, ambapo baada ya mazungumzo na Maafisa wa usalama waliokuwa getini hayakuzaa matunda hivyo kuondoka katika eneo hilo.
Kwa huo uvundo ulio kichwani mwako ulifikiri siasa ni ugomvi?Kwa hivyo sasa ni check: check mate kati ya mama na Salum.
Hapo hapo mke wa Salum ni mgombea upande wa CCM.
Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, anampikia pilau na wanalala kitanda kimoja ndani ya shuka moja na mgombea urais kwa tiketi ya CHAUMMA.
Hii inahitaji waangalizi kutoka nje?
Hata wewe Salum unaamini unaweza ukashinda?
We wali mweupe wapi nimeongea habari za kumlisha mtu???Unamlisha nani wewe ?!
Fala kabisa
Tukiacha matusi pembeni.K
Kwa huo uvundo ulio kichwani mwako ulifikiri siasa ni ugomvi?
DuhKwa hivyo sasa ni check: check mate kati ya mama na Salum.
Hapo hapo mke wa Salum ni mgombea upande wa CCM.
Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, anampikia pilau na wanalala kitanda kimoja ndani ya shuka moja na mgombea urais kwa tiketi ya CHAUMMA.
Hii inahitaji waangalizi kutoka nje?
Hata wewe Salum unaamini unaweza ukashinda?