Waliosaini Maadili ya Uchaguzi waanza kulia kilio cha Mayowe

Vijana wa Chadema kwanini munateseka na ACT? he twmabieni NRNE imeshia wapi? maandamano yataanza lini?
 
Nauona uchaguzi huu wa 2025 ndo utakaokuwa na wapiga kura wachache sana. Umekinahiwa hata kabla ya kuanza.
 
Vijana wa Chadema kwanini munateseka na ACT? he twmabieni NRNE imeshia wapi? maandamano yataanza lini?
Watu wanaandamana kwenye mioyo,Oct watu watajikalia majumbani tu mtu mwenye akili timamu na uelewa hawezi kwenda kukaa foleni na kupiga kura kwenye maaigizo hayo

ova
 
Hapa namuwazia Yeriko Nyerere na tundevu twake utadhania uchafu wa sumaku.
 
Kwa hivyo sasa ni check: check mate kati ya mama na Salum.
Hapo hapo mke wa Salum ni mgombea upande wa CCM.
Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, anampikia pilau na wanalala kitanda kimoja ndani ya shuka moja na mgombea urais kwa tiketi ya CHAUMMA.

Hii inahitaji waangalizi kutoka nje?
Hata wewe Salum unaamini unaweza ukashinda?
 
Walisema watalinda kura, ila hawawezi kukomaa hado fomu yao ipokelewe!
Waigizaji hao.
Siamini Kama Mpina, Zitto, Shaibu na Abdul Nondo hawana akili kiasi hiki.
Tunaanza kuzingatia maneno ya Polepole.
 
We ni taahira unajulikana
 
K Kwa huo uvundo ulio kichwani mwako ulifikiri siasa ni ugomvi?
 
Ninavyojuwa Mimi ni kwamba Maadili ya Uchaguzi yanasainiwa INEC lakini waliomuengua mpina ni Msajili wa vyama vya siasa kwa hiyo hapo tuweze kutofautisha
 
K
Kwa huo uvundo ulio kichwani mwako ulifikiri siasa ni ugomvi?
Tukiacha matusi pembeni.
Unafikiri wakati Obama anagombea kwa ticket ya Democrats, unadhani mkewe angethubutu kugombea ubunge kwa ticket ya GOP?
 
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…