Waliosap ualimu diploma kuajiriwa?

Waliosap ualimu diploma kuajiriwa?

Joined
Jan 15, 2015
Posts
67
Reaction score
8
Habari wanajamvi mimi ni mwalimu niliyehitimu mafunzo ya Ualimu mwaka 2014 na ktk mtihani wangu nilisap masomo manne ambayo ni research,psychology,ICT,na communication skills.

Kwa hiyo wadau kuna taarifa kuwa mwaka huu tunaajiriwa wote coz lengo la serikali kutupeleka jkt hata sisi tuliosap ni kwa lengo la kuajiri walim wote ili kufikia lengo la kumaliza tatzo la uhaba wa walimu mwaka 2015.Je hz tetesi ni za kweli jaman nisaidien mwenzenu npo huku kijijin wanajamv
 
kama wewe ni mwl wa sayansi kazi utapata....
 
Kunywa kwanza hiyo supu ndipo uajiriwe. Endapo utaajiriwa hutaweza kazi ya ualimu kwakuwa hata Psychology tu umefeli; na mbaya zaidi hadi communication skills ambalo ndo somo linalokupa ujuzi wa jinsi ya kuwasiliana na wanafunzi wako uwapo ndani au nje ya darasa nalo umeangukia pua!
 
Kuanzia 2011 UKIWA na supplementary YEYOTE huajiriwi? SABABU wengi Walioajiriwa wakiwa na supplementary hawa kwenda kuziclear, na wao hawatapanda Madaraja watabaki hapo hapo either wasapue or wakasome UPYA
 
Sasa wewe unawezaje kuwa mwl.?!
 
Habari wanajamvi mimi ni mwalimu niliyehitimu mafunzo ya Ualimu mwaka 2014 na ktk mtihani wangu nilisap masomo manne ambayo ni research,psychology,ICT,na communication skills.

Kwa hiyo wadau kuna taarifa kuwa mwaka huu tunaajiriwa wote coz lengo la serikali kutupeleka jkt hata sisi tuliosap ni kwa lengo la kuajiri walim wote ili kufikia lengo la kumaliza tatzo la uhaba wa walimu mwaka 2015.Je hz tetesi ni za kweli jaman nisaidien mwenzenu npo huku kijijin wanajamv

hii ni sapp au kufeli....na utaajiriwa kuwa mwalimu?
 
Huna vigezo stahiki vya kuajiriwa nikirejea kauli ya muheshimiwa Shukuru kawambwa alisema wote waliosupp wataendelea kusugua bench
 
Supplementary nne??? Sjaelewa kwa upande wa diploma lakin degree inakuwa discontinuation from studies, hata ni mwaka wa mwisho unakuwa haugraduate,,kwa masomo hayo mawili comm.skills na psychology aisee sifa za ualimu hakuna apo.
 
Habari wanajamvi mimi ni mwalimu niliyehitimu mafunzo ya Ualimu mwaka 2014 na ktk mtihani wangu nilisap masomo manne ambayo ni research,psychology,ICT,na communication skills.

Kwa hiyo wadau kuna taarifa kuwa mwaka huu tunaajiriwa wote coz lengo la serikali kutupeleka jkt hata sisi tuliosap ni kwa lengo la kuajiri walim wote ili kufikia lengo la kumaliza tatzo la uhaba wa walimu mwaka 2015.Je hz tetesi ni za kweli jaman nisaidien mwenzenu npo huku kijijin wanajamv

SUP ni somo muhimu sana. Ole wake asiyefaulu somo hili~ Mulugo
 
Afya tu wameachwa seuse walimu? Jiandae kusapua ajira itafuata
 
Hata hao wasiosup ajira hakuna sembuse waliosup!! Nawaza tu kwa sauti.
 
Back
Top Bottom