Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Ndugu zangu,
Huu ndio ukweli, vyama vya upinzani havina wagombea wa kutosheleza majimbo yote ya ubunge na kata nchini Tanzania.
Mathalani CHADEMA wapo kwenye majimbo ya mijini tu na wagombea waliopo ni wale waliokuwa wabunge miaka iliyopita. Ndio sababu hadi sasa hakuna ratiba kamili ya lini ni mwisho kwa watia nia kwa wagombea ubunge kuchukua fomu kwenye majimbo mengi. Hili si CHADEMA tu bali hata ACT, CUF, NCCR, CHAUMA nk.
Ni dhahiri watia nia waliochujwa CCM ndio karata pekee iliyobaki kwa vyama vya upinzani ili kushiriki uchaguzi wa ubunge na udiwani sehemu nyingi Tanzania.
Hoja imewekwa mezani