Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hujawahi kuwa na hoja
Jikite kwenye hoja kamanda acha kuweweseka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jikite kwenye hoja kamanda acha kuweweseka
Kosa kurudia kosaKamanda muda utakujibu
Kuchujwa kwenye kugombea uongozi kwenye chama kimoja, ukakimbilia chama kingine, ni dalili fika ya uchu wa madaraka. Hivyo ndivyo alivyofanya Lowassa mwaka 2015. Watia nia wakiwa wengi na chama kikapendekeza mmoja wao, wale ambao hawakupendekezwa shurti wakubali uamuzi huo na kumuunga mkono aliyependekezwa. Hiyo ndiyo demokrasia. Kuthubutu kwako kujitokeza kuomba usimamishwe kugombea ni haki yako. Lakini kuchaguliwa mmoja kati ya waliojitokeza, ndiyo mwisho wa kutia nia kwako wewe uliyeachwa. Ulijiona unafaa. Chama kikakuona kweli unafaa lakini mwingine anafaa zaidi. Ndiyo kisa cha kumchagua huyo. Kama wote waliotia nia wakikomaa wasimamishwe wenyewe tu si itakuwa balaa?
Mfano mzuri ulionyeshwa na Rais Magufuli aliposhindwa mara tatu katika uchaguzi wa ubunge. Mara zote alikuwa akiyakubali matokeo kwamba "The people have spoken". Wapiga kura walikuwa hawajui ni nani wanayemkataa. Hata Biblia inasema jiwe alilolikataa fundi mwashi ndiyo limekuwa msingi wa nyumba. Sura nyingine ya Biblia inasema wasamehe kwa kuwa hawajui watendalo. Baada ya takriban miaka hii mitano ya urais wa Magufuli, bila shaka wapiga kura wa Biharamulo wametambua walikuwa hawajui nani waliyekuwa wakimkataa.
Wosia wangu kwa mpiga kura ni kwamba chagua mtu atakayekuletea maendeleo. Siyo kuchagua mtu mwenye uchu tu wa madaraka. Kipofu tu ndiye haoni uwezo wa Magufuli katika kuiendeleza Tanzania. Upinzani unachong'ang'ania ni kumuondoa tu Rais Magufuli madarakani, bila kusema ni kitu gani bora zaidi wao watakufanyia wewe mpiga kura. Ni uchu wa madaraka tu. Mpiga kura kumbuka msemo kwamba zimwi likujualo halikuli likakwisha. Lissu anatajwa sana na upinzani asimame kushindana na Magufuli ambaye tayari ameonyesha nini anaweza kuifanyia Tanzania. Mfano mmoja ni sheria ya madini ambayo Rais Magufuli amebadilisha kwa manufaa ya Tanzania, hata kama bado mpaka sasa hatujalipwa kiasi chote kilichokuwa kikiibiwa. Lissu alikuwa akikomaa Bungeni kwamba tukiwagusa hao mabeberu tutapelekwa mahakamani kwa kuwa tulitia sahihi mkataba. Lissu huyo huyo aling'ang'ana pia Bungeni kuwa kunana mkataba sijui wa lini ambao unasema ziwa Nyasa lote ni la Malawi. Vivyo hivyo alitaja mkataba uliosainiwa kati ya Uingereza na Misri ukitukataza Tanzania kuchukua maji kutoka Ziwa Victoria kupeleka Tabora na Dodoma. Wewe mpiga kura wa Tanzania jiulize mtu kama huyu akiwa Rais si atakuwa anapigania manufaa ya nchi nyingine tu?.
Naona bado upo na hang over ya Bashite kupewa za shingoVyama vya upinzani havina jinsi wala mbadala zaidi ya kuwaomba hao wawasaidie kigombea
Vidonda vikali mno! wamenyolewa kwa chupa!!Sasa kina lijualikali na Silinde wapo wanauguza vidonda
Hata huko kuna wajumbe.Ndugu zangu,
Huu ndio ukweli, vyama vya upinzani havina wagombea wa kutosheleza majimbo yote ya ubunge na kata nchini Tanzania.
Mathalani CHADEMA wapo kwenye majimbo ya mijini tu na wagombea waliopo ni wale waliokuwa wabunge miaka iliyopita. Ndio sababu hadi sasa hakuna ratiba kamili ya lini ni mwisho kwa watia nia kwa wagombea ubunge kuchukua fomu kwenye majimbo mengi. Hili si CHADEMA tu bali hata ACT, CUF, NCCR, CHAUMA nk.
Ni dhahiri watia nia waliochujwa CCM ndio karata pekee iliyobaki kwa vyama vya upinzani ili kushiriki uchaguzi wa ubunge na udiwani sehemu nyingi Tanzania.
Hoja imewekwa mezani
Ndugu zangu,
Huu ndio ukweli, vyama vya upinzani havina wagombea wa kutosheleza majimbo yote ya ubunge na kata nchini Tanzania.
Mathalani CHADEMA wapo kwenye majimbo ya mijini tu na wagombea waliopo ni wale waliokuwa wabunge miaka iliyopita. Ndio sababu hadi sasa hakuna ratiba kamili ya lini ni mwisho kwa watia nia kwa wagombea ubunge kuchukua fomu kwenye majimbo mengi. Hili si CHADEMA tu bali hata ACT, CUF, NCCR, CHAUMA nk.
Ni dhahiri watia nia waliochujwa CCM ndio karata pekee iliyobaki kwa vyama vya upinzani ili kushiriki uchaguzi wa ubunge na udiwani sehemu nyingi Tanzania.
Hoja imewekwa mezani
Naona bado upo na hang over ya Bashite kupewa za shingo
Nitajie jimbo ambalo CDM haina mgombea.
Kamanda ni mengi sana
Hata huko kuna wajumbe.
View attachment 1516432
Vidonda vikali mno! wamenyolewa kwa chupa!!
Sasa si utaje kama ulivyo ombwa?Kamanda ni mengi sana
Hayo ndiyo malipo ya wasaliti mkuu
Umevurugwa baada ya Bashite wako kufurushwa na sisi wana dsmKamanda tulia acha kukurukakara
Umevurugwa baada ya Bashite wako kufurushwa na sisi wana dsm